Waziri Mkuu Kassim M. Majaliwa amewapongeza viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa usimamizi mzuri uliopelekea kumalizika kwa ujenzi wa ofisi hiyo kwa wakati iliyopo mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma. Pongezi hizo amezitoa alipotembelea jengo jipya la Ofisi ya Rais, …
Soma zaidi »MAKAMBA-USHIRIKIANO NDIO NJIA MUHIMU KATIKA KUPATA TAKWIMU SAHIHI
Tanzania ili iweze kufikia hatima ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, ofisi ya Taifa ya takwimu ishirikiane vyema na taasisi pamoja na mashirika ya utafiti katika kuhakikisha tafiti zinazofanyika zinatoa takwimu sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, …
Soma zaidi »WANANCHI WALIOPISHA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME KIJIJI CHA KIDAHWE WATALIPWA FIDIA – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amesema kuwa wananchi waliopisha mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme katika Kijiji cha Kidahwe wilayani Kigoma watalipwa fidia kabla ya ujenzi kuanza. Alisema hayo jana wakati za ziara ya kikazi wilayani Kigoma na Uvinza ambapo alikagua eneo kutakapojengwa kituo cha kupoza umeme …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AKAGUA REA III WILAYANI,BUHIGWE NA KIGOMA VIJIJINI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kasulu, Kigoma Vijijini na Buhigwe mkoani Kigoma kwa lengo la kukagua mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) ambapo pia aliwasha umeme katika baadhi ya Vijiji. Akiwa wilayani Kasulu, Dkt Kalemani alikagua kazi …
Soma zaidi »LIVE KUTOKA JNICC: MAKAMU WA RAIS AKIFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI NA AFYA
JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 26, Machi 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Ndugu Theobald Maingu Sabi ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi huyo amefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo …
Soma zaidi »TANZANIA IMEONGOZA KUVUTIA WAWEKEZAJI KATI YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
UWEKEZAJI Sekta ya Uwekezaji imeendelea kukua ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki ambapo ripoti mbalimbali za uwekezaji duniani zinaonesha Tanzania imeongoza kwa kuvutia uwekezaji kati ya nchi za Afrika Mashariki. Kwa mfano, Ripoti ya Uwekezaji ya Dunia ya mwaka 2018 inayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AKUTANA NA PRINCES SARAH ZEID WA JORDAN
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Suleiman Jafo, amekutana na Princes Sarah Zeid wa Jordani na kujadili masuala ya lishe na miradi mingine mbali mbali inayofadhiliwa na Umoja wa Nchi za Ulaya chini ya Shirika la Chakula Duniani (WFP).
Soma zaidi »