WAZIRI JAFO AKUTANA NA PRINCES SARAH ZEID WA JORDAN

  • JAFOO-1
    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Suleiman akiwa na Princes Sarah Zeid
  • Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Suleiman Jafo, amekutana na Princes Sarah Zeid wa Jordani na kujadili masuala ya lishe na miradi mingine mbali mbali  inayofadhiliwa na Umoja wa Nchi za Ulaya chini ya Shirika la Chakula Duniani (WFP).

Unaweza kuangalia pia

MAKATIBU WAKUU SMT NA SMZ WAKUTANA ZANZIBAR

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.