WAZIRI KALEMANI AKAGUA REA III WILAYANI,BUHIGWE NA KIGOMA VIJIJINI

  • Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kasulu, Kigoma Vijijini na Buhigwe mkoani Kigoma kwa lengo la kukagua mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) ambapo pia aliwasha  umeme katika baadhi ya Vijiji.
  • Akiwa wilayani Kasulu, Dkt Kalemani alikagua kazi zinazofanywa na mkandarasi katika Kijiji cha Ruhita ambapo alikuta Kijiji hicho bado hakijaunganishwa umeme na kumuagiza Mkandarasi, kampuni ya CCCE Etern kufikisha umeme kijijini hapo baada ya siku 15.
  • Aidha, alimtaka Meneja wa TANESCO, Wilaya ya Kasulu kuhakikisha kuwa, anasimamia suala ya uchoraji wa ramani za kuingiza umeme ndani ya nyumba za wananchi kwani kuna baadhi ya watu binafsi wanaofanya kazi hizo wamekuwa wakiwatoza wananchi gharama kubwa bila kujali tofauti ya ukubwa au udogo wa kazi.
  • Vilevile, Dkt Kalemani alimtaka Meneja huyo kuhakikisha kuwa watu wanaofanya kazi za kufunga nyaya za umeme ndani ya nyumba za wananchi wanatambulika na TANESCO ili kuepusha utapeli na kufanya kazi chini ya viwango vinavyotakiwa.
WANANCHI
Wananchi katika Kijiji cha Bulimanyi wilayani Buhigwe, Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (hayupo pichani) wakati alipofika kijijini hapo kukagua miundombinu ya usambazaji umeme.
  • Awali Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Simon Anange alimweleza Dkt Kalemani kuwa, wananchi wa Kijiji hicho wamesubiri umeme kwa muda mrefu baada ya kupata ahadi ya kupelekewa nishati hiyo, hivyo wanaomba Mkandarasi akamilishe kazi hiyo mapema ili waweze kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo za kiuchumi.
  • Akizungumzia suala hilo, Dkt Kalemani alisema kuwa, Mkandarasi ambaye ni kampuni ya CCCE Etern ameanza kazi mwezi Januari mwaka huu tofauti na wanandarasi wa umeme katika maeneo mengine nchini ambao walianza kazi mwaka jana, hii ni kwa sababu ya masuala ya kisheria yaliyojitokeza hapo awali lakini sasa Mkandarasi huyo anaendelea na kazi.
  • Akiwa wilayani Buhigwe, Dkt  Kalemani alikagua miundombinu ya umeme katika Kijiji cha Bulimanyi ambacho tayari kimeshafikishiwa  umeme na kaya zaidi ya Kumi zimeshaunganishwa na nishati hiyo na kumuagiza Mkandarasi kupeleka umeme katika Vijiji vyote vya Wilaya hiyo.
  • Dkt. Kalemani pia alikagua miundombinu ya umeme katika Kijiji cha Mkigo wilayani Kigoma Vijijini, ambapo pamoja na kuzungumza na wananchi, aliwasha umeme katika Kijiji hicho.
Ad

Unaweza kuangalia pia

UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI UENDE SAMBAMBA NA IDADI KUBWA YA KUWAWASHIA WATEJA

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini(REA) pamoja …

216 Maoni

  1. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  2. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  3. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  4. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  5. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  6. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  7. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  8. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  9. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  10. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  11. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  12. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  13. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *