NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU SEKTA YA ELIMU KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki na Boti za Kisasa kwa ajili ya Wavuvi wa Kanda ya Ziwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki na Boti za Kisasa kwa ajili ya Wavuvi wa Kanda ya Ziwa kwenye hafla fupi iliyofanyika pembezoni mwa Ziwa Victoria (Bismarck Rock) Jijini. Boti na vizimba hivyo vimegaiwa …
Soma zaidi »NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI KUHUSU SEKTA YA KILIMO, KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
HOTUBA YA MH RAIS SAMIA JUU YA UCHUMI WA TANZANIA
MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
HATUA NYINGINE KUBWA KWA TRC
TRC YAPOKEA VICHWA 3 NA MABEHEWA 27 YA TRENI YA SGR pic.twitter.com/rdCjrl2B6p— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) December 30, 2023
Soma zaidi »BWAWA LA NYERERE NI ZIWA JIPYA ULIMWENGUNI
Linakuwa Eneo la tisa kwa ukubwa Ulimwenguni, la nne kwa ukubwa barani Afrika, na kubwa zaidi Mashariki mwa Afrika. Kwa urefu wa kilomita 100 (maili 62), upana wa kilomita za mraba 1,200 (maili za mraba 460), Likizuiwa na ukuta wa konkriti wenye urefu wa mita 134 [futi 440] likiwa na …
Soma zaidi »