Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kuhakikisha tunakuza uchumi wa Viwanda, Wilaya hiyo imeandaa maonesho ya wajasiriamali wa bidhaa zangozi yatakayofanyika Disemba 12 hadi 15 katika viwanja vya Tanganyika Packers. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mhe. Chongolo amesema kuwa maonesho hayo ambayo yata ambatana …
Soma zaidi »UJUMBE WA BANK YA NMB WAKUTANA NA MABENKI YA BIASHARA NA KISERA NCHINI CHINA
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA KIWANDA CHA NYANZA BOTTLING, KILICHOPO JIJINI MWANZA
NAIBU WAZIRI MGALU: TANESCO NA REA, MSIACHE KIJIJI HATUTARUDI NYUMA
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijiji (REA) kuhakikisha hawaruki kijiji katika REA Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili unaoanza mapema mwezi Januari 2020 kwa kuwa awamu hii ni ya mwisho kuunganisha Vijiji. Mgalu alisema hayo, Desemba 8, 2019 wakati …
Soma zaidi »WAZIRI HASUNGA – BODI YA NAFAKA NA MAZAO MCHANGANYIKO NI MUHIMU KISEKTA
Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amesema Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko ni mkombozi kwa wakulima hapa nchini. Mhe. Hasunga ameyasema hayo jana tarehe 9 Disemba 2019 alipotembelea na kukagua maghala ya kuhifadhi nafaka na katika eneo la Mkuyuni Jijini Mwanza. Amevitaka bodi hiyo kuwa ni mkombozi kwa wakulima kutokana …
Soma zaidi »NITAENDELEA KUONGEA KWA NAMBA (TAKWIMU) BADALA YA MANENO – WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema ataendelea kuongea kwa namba (takwimu) badala ya maneno huku akiongeza kuwa wizara yake itavuka malengo ya makadirio ya makusanyo ya fedha zilizopangiwa na wizara yake kukusanya ambayo ni bilioni 475 katika mwaka wa 2019/20 huku akibainisha kuuwa ndani ya miezi 5 tu teyari wizara …
Soma zaidi »WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YANG’ARA UANDAAJI WA RIPOTI BORA ZA MAHESABU KWA MWAKA 2018
Wizara ya Fedha na Mipango, Fungu 50 imepata tuzo ya uandaaji bora wa mahesabu (Finacial statements) kwa mwaka 2018, kwa kuzingatia viwango vya kimataifa vya uandaaji wa hesabu serikalini (IPSAS). Tuzo hiyo ilitolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Khamis Shaaban, wakati akifunga mkutano …
Soma zaidi »NCHI ZA ACP ZATAKA MAJADILIONO UPYA KUHUSU MKATABA WA EPA
Baraza la Mawaziri wa Nchi za Afrika,Caribbean na Pacific (ACP) Tanzania ikiwemo zimekubaliana kuwa nchi za ACP na Umoja wa Ulaya zifanye maridhiano katika maeneo yanayoonekana kuwa ni kikwazo kwa baadhi ya nchi hizo kutosaini mkataba wa EPA ama kuitekeleza. Azimio hilo la Baraza la Mawaziri wa Nchi za Afrika,Caribbean na …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MGALU ALIRIDHISHWA NA MIUNDOMBINU YA UMEME MRADI SGR
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema ameridhishwa na ujenzi wa miundombinu ya njia ya kusafirisha umeme wa kV 220 inayoendelea kujengwa katika Reli ya kisasa kutoka jijini Dar es salaam hadi mkoani Morogoro. Mgalu alieleza hayo Desemba 7,2019 baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ujenzi wa miundombinu hiyo …
Soma zaidi »SERIKALI KUPUNGUZA BEI YA KUUNGANISHA UMEME KATIKA MIJI NA MANISPAA
Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu amesema Serikali inaaangalia namna ya kufanya tathmini ya kupunguza bei ya kuunganisha umeme kwa wateja waliopo katika Miji na Manispaa ili huduma hiyo iweze kumfikia kila mmoja na kuondoa malalamiko. Mgalu alisema hayo, Desemba 6,2019, baada ya kubaini changamoto mbalimbali zilizoibuliwa na wawekezaji na …
Soma zaidi »