RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA MELI MPYA YA M.V MWANZA (Hapa Kazi Tu), CHELEZO, PAMOJA NA UKARABATI WA M.V VICTORIA NA M.V BUTIAMA KATIKA ZIWA VICTORIA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA ABIRIA, KATIKA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA
MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA NYAMAGANA JIJINI MWANZA
TRA YANG’ARA TUZO ZA NBAA, YAPATA USHINDI WA JUMLA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2018 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa IPSASs. Katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI NA MAKAMU WA RAIS KATIKA HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MELI MPYA , CHELEZO NA UKARABATI WA MV VICTORIA NA BUTIAMA
EURO MILIONI 140 ZA ACP KUWANUFAISHA WAKULIMA WA MAHINDI NA KOROSHO
Jumla ya Euro milioni 140 zimetengwa ili kuwanufaisha wakulima wa mazao ya korosho na mahindi katika mpango maalum wa kutoa mikopo,kujenga uwezo katika uzalishaji,masoko,uwekezaji na kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao hayo kwa wakulima wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific jambo litakalosaidia kupunguza umasikini na njaa katika nchi hizo. Akizungumza …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AKAGUA UJENZI WA MRADI WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA ZIWA, ILIYOPO MUSOMA, MKOANI MARA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA SHULE YA MSINGI ALIYESOMA MWALIMU JULIUS NYERERE
UJENZI MRADI WA UMEME RUSUMO WAFIKIA ASILIMIA 59
Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa maji (megawati 80) wa Rusumo, unaotekelezwa kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda, umefikia asilimia 59 kutoka 32 iliyokuwa imefikiwa Juni mwaka huu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti (aliyemaliza muda wake) wa Mawaziri wanaohusika na Mradi huo kutoka nchi husika, ambaye ni …
Soma zaidi »