WIZARA YA MADINI

MKOA WA RUVUMA WATAJWA KUWA NA HAZINA YA TANI MILIONI 227 ZA MAKAA YA MAWE

Shughuli za utafiti na uchimbaji wa makaa ya mawe katika Mkoa wa Ruvuma zinafanyika katika Wilaya ya Mbinga maeneo ya Mbalawala na Mbuyula, Wilaya ya Songea katika maeneo ya Muhukuru, Njuga na Mtyangimbole na Wilaya ya Nyasa maeneo ya Malini Kata ya Mtipwili na Mbambabay, anaripoti Mwandishi Diramakini. Afisa Madini …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NYONGO AZITAKA BENKI KUSHIRIKIANA NA WIZARA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA MADINI

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza jambo na wafanyakazi wa benki ya CRDB wakati wa ufungunzi wa mafunzo ya ushirikiano kati ya Wizara ya Madini na benki hiyo iliyofanyika Agosti 6, 2020 jijini Dodoma Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo azitaka Benki zilizopo nchini kushirikiana na Wizara ya Madini …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA AMEAGIZA KUSITISHWA UTOAJI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE, AMEELEKEZA TIMU MAALUM KUCHUNGUZA MIKATABA

Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza katibu Mkuu wa wizara ya viwanda na Biashra Prof. Riziki Shemdoe kusitisha utoaji leseni mpya ya uchimbaji wa makaa ya mawe kwa kampuni ya TANCOAL ENERGY LIMITED na ameagiza timu maalum kuchunguza …

Soma zaidi »

MCHIMBAJI ALIYEPATA MADINI YA TANZANITE YENYE THAMANI YA SH. BILIONI 7.8 AMPONGEZWA NA RAIS MAGUFULI

Mchimbaji Bw. Saniniu Laizer (kushoto) akiwa amebeba madini ya Tanzanite amabyo yana jumla ya kilo 15 ambapo jiwe moja lina kilo 9. 2 la thamani ya bilioni 4.5 na lingine kilo 5.8 lenye thamani ya shilingi ya bilioni 3.3 wakati wa tukio la kuuza madini hayo kwa Serikali Naibu Waziri …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NYONGO: MIGOGORO YA WACHIMBAJI KUTATULIWA KISHERIA

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye Koti akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi 14 Kwahemu Daudi Elia akitoa maelezo ya uchimbaji kwenye eneo la machimbo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Imeelezwa kuwa, utatuzi wa migogoro ya wachimbaji wadogo wa madini hutatuliwa kwa kufuata Sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya …

Soma zaidi »