NAIBU WAZIRI NYONGO: MIGOGORO YA WACHIMBAJI KUTATULIWA KISHERIA

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye Koti akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi 14 Kwahemu Daudi Elia akitoa maelezo ya uchimbaji kwenye eneo la machimbo wilayani Chamwino mkoani Dodoma.

Imeelezwa kuwa, utatuzi wa migogoro ya wachimbaji wadogo wa madini hutatuliwa kwa kufuata Sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya Madini.  Utatuzi huo hufanywa pasipo ubaguzi wa hali au namna yeyote ya wahusika wanaohusishwa katika mgogoro huo.

Hayo yamebainishwa tarehe Juni 17, 2020 na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo, alipokuwa Wilaya ya Chamwino Tarafa ya Itiso Kijiji cha Kwahemu alipotembelea kwa ajili ya kutatua mgogoro baina ya wachimbaji wadogo na Mwekezaji wa Kampuni ya Ruvu Gamstone.

Ad

Mgogoro huo umejitokeza kufuatia wachimbaji wadogo wa Kijiji cha Kwahemu wakiomba Serikali imnyang’anye mwekezaji wa Ruvu Games Stone moja ya sehemu ya leseni zake ili wapewa Umoja wa vikundi vya wachimbaji wadogo Kwahemu huku wakidai moja ya leseni wanayoitaka kutoka kwa Ruvu Gamstone inamilikiwa kihalali. 

Akiwa kwenye nyakati tofauti na wachimbaji wadogo na wananchi, Nyongo aliwaeleza kuwa utatuzi wa migogoro hutatuliwa kwa kuzingatia Sheria na sio kwa ubaguzi. “Nimesikia kuwa moja ya malalamiko yenu wachimbaji kuwa Mwekezaji mnae msema sio mtanzania, niwaambie ukweli huyu ni Mtanzania na ndio aina ya leseni aliyopewa humilikiwa na Watanzania kwa mujibu wa Sheria” alisema Nyongo.

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akitoa maelezo na kusisitiza kuhusu utaratibu wa umiliki wa leseni kwa wachimbaji wadogo.

Na Issa Mtuwa – Chamwino Dodoma

Aliongeza kuwa Kampuni ya Ruvu Gamstone leseni zake alizipata kwa uhalali na anazilipia tozo kwa mujibu wa sheria hivyo, serikali haiwezi kumnyang’anya, bali kutokana na mahitaji yenu serikali itazangumza na Mwekezaji ili kuona namna ya kupewa sehemu ya kuchimba kukidhi mahitaji yenu jambo ambalo Mwekezaji hajakataa kutoa bali kuweka utaratibu vizuri.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi 14 vya Wachimbaji wadogo wa Kijiji cha Kwahemu Hussein Ally Kimolo,  wachimbaji hao waliomba kupatiwa moja ya leseni yenye uzalishaji (productive) ili waweze kuchimba huku wakidai sehemu walizopewa kuchimba hazina uzalishaji huku wakidai kuwa Mwekezaji huyo sio mzawa na pia eneo wanalolitaka haliendelezwi.

Akipitia mapendekezo ya utatuzi wa mgogoro huo chini ya mwenyekiti wa kamati hiyo Remidius Emmanuel Afisa Tarafa kwa niaba ya Mkuu wa wilaya, Nyongo na wajumbe waliokuwepo kwenye kamati hiyo walikubaliana kuwa mapendekezo yaaliyotolewa kwenye kamati hiyo hayakuwa makubaliano ya kamati. Mapendekezo yalikuwa binafsi na kulikuwa na mvutano baina ya wajumbe wa kamati.

Kwa upande wa Kampuni ya Ruvu Gamstone, Mkurugenzi Dimitri Mantheakis alisema, kwanza anamiliki leseni hizo kwa uhalali na kwa mujibu wa Sheria. Ameongeza kuwa suala la kutoa eneo kwa ajili ya wachimbaji haoni shida bali kuwe na utaratibu. Alisisitiza kwamba, kutoa leseni na kuwapa, wenda wakaiuza kwa Mwekezaji mwingine kama walivyo wahi uza leseni kwa Mwekazi mwingine kwa asilimia 65 japo haikuwa leseni yake. 

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

19 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  3. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  4. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-kz.kz, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world.

  5. French prodigy Kylian Mbappe https://realmadrid.kylian-mbappe-cz.com is taking football by storm, joining his main target, ” Real.” New titles and records are expected.

  6. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  7. Emily Olivia Laura Blunt https://oppenheimer.emily-blunt.cz British and American actress. Winner of the Golden Globe (2007) and Screen Actors Guild (2019) awards.

  8. Activision and Call of Duty https://activision.call-of-duty.cz leading video game publisher and iconic shooter with a long history market dominance.

  9. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  10. Discover how Riyad Mahrez https://al-ahli.riyad-mahrez.com transformed Al-Ahli, becoming a key player and catalyst in reaching new heights in world football.

  11. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  12. Selena Gomez https://calm-down.selenagomez-br.net the story from child star to global musical influence, summarized in hit “Calm Down”, with Rema.

  13. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  14. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  15. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  16. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  17. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *