NAIBU WAZIRI NYONGO AZITAKA BENKI KUSHIRIKIANA NA WIZARA KATIKA KUKUZA UCHUMI WA MADINI

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo akizungumza jambo na wafanyakazi wa benki ya CRDB wakati wa ufungunzi wa mafunzo ya ushirikiano kati ya Wizara ya Madini na benki hiyo iliyofanyika Agosti 6, 2020 jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo azitaka Benki zilizopo nchini kushirikiana na Wizara ya Madini katika kuwawezesha kimitaji wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini ili kuwawezesha kuwekeza katika shughuli zao.

Naibu Waziri Nyongo aliyasema hayo tarehe 6 Agosti, 2020 wakati akifungua mafunzo yaliyoandaliwa hususani kwa ajili ya  wafanyakazi wa benki ya CRDB yaliyofanyika katika hoteli na NAShera jijini Dodoma.

Ad

Alisema mafunzo hayo yatawasaidia wataalamu hao wa benki  kuwa na  uelewa wa namna shughuli za uchimbaji na biashara ya madini kwa ujumla zinavyoendeshwa.

Baadhi ya wafanyakazi wa CRDB walioshiriki semina hiyo wakifuatilia kwa makini mafunzo ya ushirikiano baina ya benki na Wizara ya Madini uliofunguliwa na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo Agosti 6, 2020 jijini Dodoma

“Biashara ya Madini ni kama biashara nyingine hivyo msisite kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo pindi wanapohitaji kwa ajili ya kuwekeza katika uchimbaji  na biashara ya madini”. Nyongo alikazia.  

Akizungumzia dhumuni la kutoa mafunzo hayo kwa taasisi za benki nchini, ambapo awali mafunzo kama hayo yalitolewa kwa watumishi wa benki ya NMB, Nyongo alisema hatua hiyo  ni utekelezaji wa sera ya Madini ya Mwaka 2009 inayoitaka Serikali kuwasaidia wachimbaji wadogo wa Madini katika kutatua changamoto za mitaji zinazowakabili na kuwafanya wawekeze kwa tija.

Wizara ikishirikiana na Tume ya Madini imeona njia bora ya kuwawezesha wachimbaji hao ni kuwaunganisha na taasisi muhimu za fedha ili kutoa elimu muhimu kwa taasisi hizo zitakazowasaidia wakati wa kuhakiki taarifa za wachimbaji na wafanyabiashara wa madini pindi watakapowasilisha taarifa zao benki kwa ajili ya kuomba mikopo.

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Prof. Shukrani Manya akiwaelezea jambo wafanyakazi wa CRDB walioshiriki mafunzo ya ushirikiano baina ya Wizara ya Madini na sekta za kibenki uliofanyika Agosti 6, 2020 jijini Dodoma

Nuru Mwasampeta na Steve Nyamiti,WM

Akizungumzia matarajio ya wizara mara baada ya elimu kutolewa, Nyongo alisema benki zilizopo nchini kuwawezesha kwa kuwapa mikopo na elimu ya biashara wachimbaji wa Madini hasa wachimbaji wadogo.

Vilevile Waziri Nyongo amesema, mafunzo hayo yataendelea kutolewa kwa taasisi nyingine za fedha nchini ili kuwezesha taasisi hizo kujifungamanisha kwenye  uchumi wa Madini ambayo ni sekta inayoongoza kwa ukuaji nchini.

Akihitimisha hotuba yake ya ufunguzi, Nyongo alisisitiza kuwa elimu ya biashara ya madini itaendelea kutolewa kwa wataalamu wa benki nchini ili kuwajengea uwezo wakopeshaji kutambua fursa zilizopo kwenye sekta ya madini na kuwataka kuajiri wataalamu wenye uelewa na masuala ya madini watakaoweza kuchambua michanganuo ya mikopo ya uchimbaji wa madini vile inavyostahili.

Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya alisema, sekta ya madini ni sekta muhimu katika uchumi wa nchi ambayo inahitaji mitaji mikubwa katika uwekezaji wake hivyo ni muhimu kwa watoa huduma za mikopo kuwa na uelewa wa sheria na kanuni za madini.

“Sekta ya madini ni biashara kama biashara nyingine inahitaji mitaji mikubwa hivyo ninyi watu wa benki inabidi mjue vizuri suala la leseni za madini, uhai wa leseni hizo na sheria na kanuni zinazoongoza sekta hii muhimu”.

Pamoja na hayo, Prof. Manya alisema mafunzo hayo yataondoa kusitasita kutoa mikopo kwa wachimbaji wa madini mara baada ya wataalamu wa mikopo kuwa na uelewa mpana kuhusu mnyororo wa madini unaohusu wachimbaji, wauzaji, vifaa vya uchimbaji na uchakataji wa madini na watoa huduma wengine katika sekta hiyo.

Kwa upande wake, Meneja wa Dawati maalum kwa wateja wakubwa kutoka benki ya CRDB, Frederick Mwamyalla amekirii kuwa semina hiyo imekuwa na manufaa makubwa kwao na kuwawezesha kuona fursa zilizopo kwenye sekta ya madini zitakazowasaidia kuongeza mchango wao katika kusukuma mbele ukuaji wa sekta ya madini ili iweze kuchangia vilivyo katika miradi ya maendeleo.

Alisema ni muhimu kwao kama taasisi ya kifedha kuongeza nguvu na kuboresha huduma zao ili kuhakikisha mchango wa benki hiyo unaongezeka kwa kuwawezesha wachimbaji wadogo na hivyo kuinua vipato vyao pamoja na kuongeza mchango wa sekta kwenye pato la taifa.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

50 Maoni

  1. While this issue can vexed most people, my thought is that there has to be a middle or common ground that we all can find. I do value that you’ve added pertinent and sound commentary here though. Thank you!

  2. Abnormal this put up is totaly unrelated to what I was searching google for, but it surely used to be listed at the first page. I suppose your doing one thing proper if Google likes you adequate to place you at the first page of a non similar search.

  3. Hello there, You have done an incredible job. I will certainly digg it and personally recommend to my friends. I am sure they will be benefited from this site.

  4. of course like your web-site however you have to check the spelling on several of your posts. Many of them are rife with spelling problems and I find it very troublesome to tell the reality then again I will surely come back again.

  5. mexican drugstore online
    https://cmqpharma.online/# mexican drugstore online
    mexico drug stores pharmacies

  6. mexico drug stores pharmacies: cmq pharma mexican pharmacy – best online pharmacies in mexico

  7. Loving the info on this website , you have done outstanding job on the blog posts.

  8. The company ELIVERAGroup, is a Retailer, which operates in the Cosmetics industry.

  9. That’s some inspirational stuff. Never knew that opinions might be this varied. Thanks for all the enthusiasm to supply such helpful information here.

  10. Online medicine home delivery: buy prescription drugs from india – best online pharmacy india
    https://indiapharmast.com/# india pharmacy mail order
    mexican online pharmacies prescription drugs best online pharmacies in mexico buying prescription drugs in mexico online

  11. best canadian pharmacy online: canadian drug pharmacy – cross border pharmacy canada

  12. canadian pharmacy prices canadian pharmacy tampa cheap canadian pharmacy online

  13. mexican pharmaceuticals online: mexican mail order pharmacies – pharmacies in mexico that ship to usa

  14. canada drugstore pharmacy rx: buying from canadian pharmacies – reputable canadian online pharmacies

  15. canadian drug pharmacy: reputable canadian online pharmacies – canadian drugs
    https://canadapharmast.com/# best canadian pharmacy to buy from
    buying prescription drugs in mexico п»їbest mexican online pharmacies mexican pharmacy

  16. http://foruspharma.com/# mexican online pharmacies prescription drugs

  17. cheap canadian pharmacy: safe canadian pharmacies – canada pharmacy 24h

  18. mexican border pharmacies shipping to usa: mexican border pharmacies shipping to usa – п»їbest mexican online pharmacies

  19. canadian pharmacies compare safe canadian pharmacy canadian pharmacy oxycodone

  20. top online pharmacy india: mail order pharmacy india – top online pharmacy india

  21. https://canadapharmast.online/# canadian pharmacy uk delivery

  22. canada drugs online reviews: legitimate canadian pharmacy – best rated canadian pharmacy

  23. canadian pharmacy: canadian medications – canadian pharmacy no scripts
    https://foruspharma.com/# medication from mexico pharmacy
    pharmacy website india mail order pharmacy india indian pharmacy online

  24. indian pharmacy: world pharmacy india – buy prescription drugs from india

  25. п»їbest mexican online pharmacies mexican mail order pharmacies best online pharmacies in mexico

  26. canadian pharmacy ratings: canadian world pharmacy – canada pharmacy online

  27. rate canadian pharmacies: canadian pharmacy online store – canada drugs
    https://canadapharmast.com/# buy prescription drugs from canada cheap
    best online pharmacies in mexico mexican mail order pharmacies mexico pharmacy

  28. certified canadian international pharmacy: canadian pharmacies comparison – canadian pharmacy scam

  29. buying prescription drugs in mexico online: pharmacies in mexico that ship to usa – reputable mexican pharmacies online

  30. https://foruspharma.com/# mexican pharmaceuticals online

  31. http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid cost without insurance
    can you buy doxycycline over the counter nz doxycycline where to get doxycycline hyclate 100mg

  32. cost cheap clomid no prescription: order clomid tablets – cost of cheap clomid no prescription
    http://doxycyclinedelivery.pro/# buy doxycycline over the counter

  33. doxycycline canada: doxycycline 100 cost – doxycycline pills over the counter
    http://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin
    doxycycline sale uk can i buy doxycycline in india generic doxycycline 200 mg

  34. https://clomiddelivery.pro/# buy cheap clomid prices
    where can i get clomid without rx can you buy clomid without prescription can i buy generic clomid without rx

  35. doxycycline 50 mg india: doxycycline with out a rx – doxycycline tablets for sale

  36. doxycycline 200 mg capsules: doxycycline 100mg tablet price – doxycycline online sale
    https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline mexico

  37. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline online india
    buy amoxil amoxicillin price without insurance amoxicillin without a doctors prescription

  38. over the counter amoxicillin: where to buy amoxicillin 500mg without prescription – amoxicillin price without insurance
    http://clomiddelivery.pro/# get cheap clomid online

  39. where can you buy amoxicillin over the counter: how to get amoxicillin – buy amoxicillin online with paypal
    http://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline capsules 50mg 100mg
    buy doxycycline tablets price of doxycycline in india online doxycycline prescription

  40. http://clomiddelivery.pro/# how to get generic clomid pill
    paxlovid india paxlovid for sale Paxlovid over the counter

  41. https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid cost without insurance

  42. buy ciprofloxacin: cipro online no prescription in the usa – buy ciprofloxacin
    http://amoxildelivery.pro/# buying amoxicillin online

  43. can i order clomid without prescription: can i buy cheap clomid without dr prescription – can you buy clomid now
    http://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin generic price
    buy cipro online ciprofloxacin 500mg buy online ciprofloxacin mail online

  44. http://clomiddelivery.pro/# can you buy cheap clomid
    where can i buy generic clomid buying generic clomid prices cost cheap clomid price

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *