WIZARA YA NISHATI

WAZIRI KALEMANI APONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KWA KASI YAKE YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imempongeza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini ambapo hadi sasa zaidi ya asilimia 80 ya vijiji vyote nchini vimepelekewa huduma ya umeme.Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya …

Soma zaidi »

KAIMU KATIBU MKUU NISHATI, AKAGUA ENEO LA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAJI YA MTO RUHUDJI

Muonekano wa sehemu moja ya eneo la Mto Ruhudji ambalo limegawanyika mara mbili katika eneo moja, utakapojengwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto huo, lililopo kati ya Kijiji cha Itipula na Lupembe, Wilayani Njombe Mkoani Njombe, Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja …

Soma zaidi »

WATEJA WALIOLIPIA ANKARA ZA UMEME WAUNGANISHIWE UMEME NDANI YA MIEZI MITATU – DKT. KALEMANI

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijjini (REA), kuhakikisha wanawaunganishia umeme wateja wote waliolipia ankara za umeme jijini Mwanza na maeneo ya vijijini ndani ya miezi mitatu kuanzia tarehe 30 Desemba, 2020. Waziri Kalemani ameyasema hayo, tarehe …

Soma zaidi »

BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME

Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …

Soma zaidi »

WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WAFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA JULIUS NYERERE (JNHPP)

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Stephen Byabato wamefanya ziara kwenye ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa mradi ambao utazalisha umeme wa megawati 2115.Ziara hiyo iliyofanyika, tarehe 14 Desemba, 2020 iliwahusisha …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AUTAKA UONGOZI WA WIZARA YA NISHATI KUFANYA KAZI KWA KASI NA UBUNIFU

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amewataka watumishi wa Wizara ya Nishati kufanya kazi kwa kasi na kwa ubunifu ili kuhakikisha sekta ya Nishati inaendelea kukua ili kuwezesha upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika kwa maendeleo ya Viwanda na kuliletea Taifa maendeleo. Waziri Kalemani ameyasema hayo Desemba 10, …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU MADINI ATOA MIEZI MIWILI MGODI STAMIGOLD KUANZISHA MIGODI MIPYA

Na Issa Mtuwa – Kagera Stamigold Wizara ya Madini imetoa kipindi cha miezi miwili kwa Mgodi wa STAMIGOLD kuwasilisha Mpango wa kuanzisha Migodi Mipya. Kauli hiyo kwa STAMIGOLD ambayo ni Kampuni Tanzu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) inafuatia kuonyesha uwezo wa kuanzisha na kuendesha migodi mipya. Hayo yamesemwa …

Soma zaidi »