WIZARA YA NISHATI

DKT. KALEMANI: LIPIENI TUJUE IDADI YA WATEJA TUSAMBAZE NGUZO TUWAWASHIE UMEME

Na Zuena Msuya Geita Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaambia wanakijiji ambao umeme ushafika katika maeneo yao walipie gharama za kuwashiwa umeme ili kufahamu idadi ya wateja, nguzo zisambazwe na kuunganishwa kulingana na wateja waliopo kwa wakati husika. Dkt. Kalemani alisema hayo wakati akiwasha umeme katika Kijiji cha Rusungwa …

Soma zaidi »

TANESCO KUTUMIA BIL.1.2 KUBORESHA UMEME KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa serikali imetenga shilingi za kitanzania Bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme utakaokuwa ukitumiwa na kiwanda cha sukari peke yake, katika kuendesha shughuli za uzalishaji.  Amesema hayao alipotembelea kiwanda cha Sukari Mtibwa, ambapo amesema kuwa njia hiyo ya …

Soma zaidi »