WIZARA YA VIWANDA

RAIS MAGUFULI – WATANZANIA WOTE TUENDELEA KUDUMISHA AMANI AMBAYO NI MUHIMU KWA MAENDELEO YETU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya viatu alivyokabidhiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee (kushoto) baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini …

Soma zaidi »

AJIRA ZAIDI YA 2,000 ZIMEPATIKANA WILAYANI SIHA MKOANI KILIMANJARO

Na, Pius Ntiga, Siha. Zaidi ya ajira 2,000 zimepatikana katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro kwa kipindi cha miaka mitano za wananchi kufanya kazi katika miradi mbalimbali ukiwemo wa Shamba la Mwekezaji la Maparachichi-Africado. Miradi hiyo mikubwa ya Mwekezaji Africado lililopo Kijiji cha Kifufu pamoja na ule wa Shamba la …

Soma zaidi »

MAUZO YA KOROSHO YA TANZANIA YAMEONGEZEKA KUTOKA TANI 27 MWAKA 2017 HADI KUFIKIA TANI 1007 MWAKA 2020 NCHINI CHINA

China imeahidi kununua zaidi bidhaa za kilimo na Uvuvi kutoka Tanzania ahadi hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika Mkutano wa Balozi Kairuki na Rais wa Taasisi ya China Chamber of Import and Export of Foodstuff Ndugu CAO Derong Mauzo ya bidhaa za baharini kutoka Tanzania Bara na Zanzibar- Ornament Spinal …

Soma zaidi »

BALOZI MBELWA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA TEKNOLOJIA YA KUZALISHA UMEME WA JUA NCHINI CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen ambapo amesema kuwa ujumbe wa kampuni hiyo utatembelea Tanzania mwezi Desemba 2020 …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA KUANZA KUTAFUTA MASOKO

Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Kiwanda hicho yaliyojegwa katika awamu ya kwanza (LOT 1) yakiwa yamekamilika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza uongozi wa Kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kutafuta masoko ndani …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA AMEAGIZA KUSITISHWA UTOAJI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE, AMEELEKEZA TIMU MAALUM KUCHUNGUZA MIKATABA

Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza katibu Mkuu wa wizara ya viwanda na Biashra Prof. Riziki Shemdoe kusitisha utoaji leseni mpya ya uchimbaji wa makaa ya mawe kwa kampuni ya TANCOAL ENERGY LIMITED na ameagiza timu maalum kuchunguza …

Soma zaidi »