ZANZIBAR

UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO

Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …

Soma zaidi »

DKT. ZAINABU CHAULA AAGIZA VITUO VYA MAWASILIANO ZANZIBAR KUJIENDESHA KWA FAIDA

Kituo cha TEHAMA cha Mkokotoni kilichopo Unguja, moja ya vituo sita vya TEHAMA vilivyokaguliwa naKatibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Zainabu Chaula kisiwani Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) wa Jamhuri nya …

Soma zaidi »

WANANCHI WANA WAJIBU WA KUEJIEPUSHA NA VITENDO VYOTE VINAVYOKWENDA KINYUME NA SHERIA NA KANUNI ZILIZOWEKWA NA (ZEC) NA (NEC) – RAIS DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kuheshimu kazi, majukumu na maamuzi ya Tume za Uchaguzi nchini, kwa kuzingatia kuwa taasisi hizo zimeundwa kwa mujibu sheria na Katiba za nchi. Dk. Shein amesema hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul wakil Kikwajuni …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  amewaapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa baada ya kuwateuwa hivi karibuni. Katika hafla hiyo iliyofanyika Ikulu mjini Unguja na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali, Dk. Shein amemuapisha Khatib Mwadini Khatibu kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara …

Soma zaidi »

KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA(TCC) KUTOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KWA WATU WENYE ULEMAVU ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba utayari wa Kampuni ya Sigara Tanzania {TCC}wa kuwa karibu na watu wenye ahitaji maalum ni jambo la msingi linalopaswa kuendelea kuunga mkono na Taasisi nyingine hapa Nchini. Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo  Ofisini kwake Vuga Mjini …

Soma zaidi »

BALOZI SEIF: JUKUMU LA WATOTO WA SASA NI KUSOMA KWA BIDII ILI KUENDELEZA DHANA YA MAPINDUZI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Watanzania wanapoadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lazima wale walioshuhudia wajikumbushe wakati kile Kizazi Kipya kinapaswa kusoma Historia ili kujua vyema dhamira iliyopelekea kufanywa kwa Mapinduzi hayo. Balozi Seif Ali Iddi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na …

Soma zaidi »