Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara amesema Serikali inatengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji wanaofuata sheria. Waitara ametoa kauli hiyo leo Desemba 23, 2020 alipotembelea kiwanda cha Saji Packaging kinachojihusisha na uzalishaji wa vifungashio vya plastiki na kurejeleza taka za plastiki kilichopo Iliemela jijini …
Soma zaidi »Recent Posts
KAGERA KUNUFAIKA NA UMEME WA UHAKIKA – NAIBU WAZIRI BYABATO
Serikali kupitia Wizara ya Nishati inaendelea kuboresha Huduma ya Umeme kwa kununua mitambo mipya zikiwemo Transfoma, pamoja na kusimamia Ujenzi wa Miradi ya Kufua Umeme ya Rusumo na Kikagati, ili kuondokana na adha ya kukatika kwa Umeme Mkoani Kagera, sambamba na kuachana na Umeme wa kununua kutoka Nchi Jirani ya …
Soma zaidi »TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KIDUNIA NA YA KWANZA AFRIKA MASHINDANO YA TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknollojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya TEHAMA ambapo Tanzania imeshika nafasi ya pili kidunia na ya kwanza Afrika. Tuzo hizo zimetolewa Dar es Salaam ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim …
Soma zaidi »DAWASA WATEKELEZA AGIZO LA RAIS DKT. MAGUFULI LA KUFIKISHA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA JIMBO LA UKONGA, KIFURU NA SEGEREA
Kufuatia agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka Mamlaka ya Maji safi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) kufikisha huduma ya Maji safi kwa wakazi wa Jimbo la Ukonga na Segerea kabla ya Disemba 25 Mwaka huu, hatimae DAWASA wametekeleza agizo hilo. Mapema leo Waziri wa Maji Jumaa Aweso …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE ALITAKA BARAZA LA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WANANCHI
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amelitaka Baraza la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA – CCC) kushughulikia malalamiko ya wananchi na changamoto wanazozipata wakati wanatumia huduma na bidhaa za mawasiliano nchini Dkt.Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake alipotembelea TCRA – CCC akiwa ameambatana na …
Soma zaidi »MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATETA NA WAZIRI UMMY
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais – Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdallah mara baada ya kufanya mazungumzo baina yao, ambapo Mhe. Ummy alikwenda Ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha. Kulia ni …
Soma zaidi »WAITARA ATETA NA WAFANYABIASHARA CHUMA CHAKAVU, ARIDHISHWA KIWANDA CHA KUREJELEZA CHUPA ZA PLASTIKI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara wa chuma chakavu wa jijini Mwanza aliofanya kikao nao kwa lengo la kusikiliza changamoto zao na kutoa elimu ya utaratibu wa vibali. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mwita Waitara amewataka …
Soma zaidi »BYABATO AKERWA NA CHANGAMOTO NDOGO ZA UKOSEFU WA UMEME
Kufuatia uwepo wa Changamoto mbali zinazohusu Umeme Maeneo mengi hapa Nchini, Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) ametoa mwelekeo wa Wizara husika katika kutafutia Ufumbuzi Kero sugu za Umeme zinazowakabili Wananchi ambao kipekee ndio Watumiaji wa Nishati hiyo. Naibu Waziri wa Nishati Adv. Stephen Byabato (Mb) Naibu Waziri …
Soma zaidi »SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI – DKT MWIGULU NCHEMBA
Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa …
Soma zaidi »NIMEDHAMIRIA KUENDELEZA JITIHADA ZA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZILIZOBAKIA – WAZIRI UMMY MWALIMU
Na Lulu Mussa, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu hii amefanya ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kwa lengo la kujitambulisha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Rais …
Soma zaidi »