Recent Posts

TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE – PROF. MKENDA

Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema kipaumbele chake ni kuona wakulima wanaongeza tija kwenye uzalishaji wa mazo nchini kwa kutumia eneo dogo kuzalisha mazo mengi zaidi na kukuza uchumi wa kaya na taifa. Waziri wa Kilimo amesema hayo (21.12.2020) wakati akikakabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Kilimo  Japhet …

Soma zaidi »

DKT. GWAJIMA AMETAKA PESA ZA DAWA ZIHESHIMIKE

Viongozi wa vituo vya kutolea huduma za afya vya umma wametakiwa kuheshimu fedha za dawa kadri zilivyopangwa kwenye bajeti ya Serikali kuu na vyanzo vingine  ili kuweza kuondoa kero ya upatikanaji wa dawa kwenye vituo vya afya nchini. Rai hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, …

Soma zaidi »

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DKT MWIGULU AAGIZA RITA KUHAMIA DODOMA

Serikali imeutaka Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wenye maskani yake Jijini Dar es salaam kuanza mchakato wa haraka kuhakikisha unahamia Jijini Dodoma. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba tarehe 21 Disemba 2020 wakati akizungumza na watumishi wa taasisi hiyo akiwa katika …

Soma zaidi »

TARI NALIENDELEA KUONGEZA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO MKOANI RUKWA

Bodi ya Korosho Tanzania kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kituo cha Naliendele Mkoani Mtwara Imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo kilo 400 za mbegu za korosho ili aweze kuzigawa kwa Wakuu wa Wilaya na hatimae kuwafikia wakulima kupitia Maafisa kilimo wa halmashauri …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI ANEEMESHA VIJIJI VITATU KWA KUVIPATIA EKARI MIA TATU SAME

Na Munir Shemweta, SAME Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameshusha neema kwa vijiji vitatu vya Ndungu, Msufini na Mpirani vilivyopo tarafa Ndungu wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kuvipatia ekari mia tatu vijiji vitatu. Hatua hiyo inafuatia wananchi wa vijiji hivyo kuomba kupatiwa sehemu ya ardhi …

Soma zaidi »

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAIPONGEZA TANZANIA KWA MIRADI YA KIMKAKATI

Jumuiya ya Afrika Mashariki imeeleza kujivunia na miradi mikubwa nay a kimkakati inayotekelezwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwamba kukamilika kwake kutachochea ukuaji wa uchumi na biashara katika Jumuiya hiyo pia kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO – BUSISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Desemba 18, 2020 amekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja la (Kigongo – Busisi) Mkoani Mwanza. Daraja hilo linaurefu wa kilomita 3.2 na barabara unganishi kilomita 1.66 na linagharimu shilingi bilioni 699.2

Soma zaidi »