Recent Posts

CHINA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIMKAKATI

China imesema itafanya kazi kwa ukaribu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2020 ili kuiwezesha Tanzania kupiga kwa haraka hatua za kimaendeleo kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamo katika barua ya pongezi iliyotumwa na Waziri wa Mambo ya Nje …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI AKUTANA NA MABALOZI WA CHINA,FINLAND NA SWEDEN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden hapa Nchini Mhe Anders Sjoberg.Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dar es Salaam. Waziri wa …

Soma zaidi »

BALOZI IBUGE ATAMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini …

Soma zaidi »

MADINI KUCHANGIA MABILIONI PATO LA TAIFA

Na Jonas Kamaleki, MAELEZO Tanzania imejaliwa kuwa na maliasili nyingi zinazoweza kuifanya nchi hii kuondokana kabisa na umasikini na utegemezi, hivyo kujiendesha bila kutegemea misaada toka nje ya nchi. Licha ya kuwa na hifadhi za taifa za wanyama, bahari, maziwa, mito na milima na mabonde, nchi hii imejaliwa pia kuwa …

Soma zaidi »

WANANCHI WILAYANI NANYUMBU WAIPONGEZA TARURA KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU

Na. Thereza Chimagu Wananchi wa Vijiji vya Makong’ondela, Pachani na Kilimanihewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara wamepongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya barabara, madaraja, vivuko na mitaro wilayani hapo ikiwa ni sehemu ya kufungua fursa za kiuchumi na ukuaji wa miji katika maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza katika …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEANZA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA KATIKA SEKTA YA MISITU

Serikali imeanza kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha sekta ya misitu kuchangia kikamilifu katika ukuaji wa uchumi; kuwaongezea wananchi kipato na kuzalisha ajira. Naibu Kamishna wa Uhifadhi – TFS Mohamed Kilongo anasema hatua hiyo inalenga kuimarisha utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Nchini ili shughuli za uchumi na …

Soma zaidi »

SINGIDA MASHARIKI KUPATA MAJI YA UHAKIKA

Jumla ya visima 13 vya maji vimejengwa katika Jimbo la Singida Mashariki ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyoahidi kumtua mama ndoo ya Maji kichwani. Akizungumza mara baada ya kukagua kazi ya uchimbaji wa kisima kirefu cha maji katika kijiji cha Munkinya, …

Soma zaidi »