Recent Posts

WATANZANIA WAASWA KUTUMIA MPANGO WA FEDHA ILI KUJILETEA MAENDELEO

Na Immaculate Makilika na Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali yawataka watanzania kutumia  Mpango Mkuu wa Maendeleo wa  Sekta ya Fedha ya mwaka 2020/21 hadi 2029/30 ili kujiletea maendeleo kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango huo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha …

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU MUHAS YAANZISHA KLINIKI MAALUM KWA WAGONJWA WA SIKOSELI WANAOKABILIWA NA MAGONJWA YA MOYO

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Kliniki maalum kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa sikoseli ambapo wanaokabiliwa pia na magonjwa ya moyo imeanzishwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kliniki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Pro. Mohamed Janabi amesema wameshirikiana na Chuo Kikuu …

Soma zaidi »

“TULINDE TABAKA LA OZONI” – MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachewene akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni akimuwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maadhimisho haya yamefanyika Jijini Dodoma na yameenda sambamba na utoaji wa zawadi kwa washindi wa …

Soma zaidi »

WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI BAADA YA KUSAMBAZIWA MAJI VIJIJINI

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (kulia) akiongea na baadhi ya wataalamu baada ya kuona ujenzi wa tenki la maji katika mradi wa P4R katika kata ya Mtowisa Wananchi wa vijiji vya Ng’ongo na Mtowisa katika Kata ya Mtowisa, Wilayani Sumbawanga, Mkoani Rukwa wameishukuru serikali ya awamu ya …

Soma zaidi »

WAZIRI HASUNGA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA MBOLEA KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amezindua zoezi muhimu la ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima wa Mkoa wa Songwe ili waweze kuitumia katika msimu wa kilimo 2020/2021. Amesema kuwa mkoa wa Songwe umekuwa ukizalisha chakula kwa kiasi kikubwa huku ukishika nafasi ya tatu kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya Nafaka …

Soma zaidi »

TUME YA TAIFA YA UMWANGILIAJI IMEJENGA NA KUKARABATI SKIMU 179

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya amesema sekta ya umwagiliaji imeongeza usalama wa chakula kwa kuchangia wastani wa 24 % ya mahitaji yote ya chakula nchini. Amesema hayo Morogoro wakati wa kikao cha Tume ya Taifa ya umwagiliaji na wahandisi wa umwagiliaji wa mikoa. “Tume ya Taifa ya Umwagiliaji …

Soma zaidi »

STAMICO YANUNUA MITAMBO MITATU YA UCHORONGAJI MADINI

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeagiza mitambo mitatu ya uchorongaji yenye teknolojia ya kisasa zaidi kuwahi kutumika hapa nchini, ambapo mmoja wa mtambo huu unauwezo wa kuendeshwa kwa kutumia computer na mtu akiwa mbali na mashine Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof Simon Msanjila katika uzinduzi …

Soma zaidi »