Soma zaidi »
Recent Posts
LIVE CATCH UP:RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI JIJINI MBEYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Isanga, Mwansekwa,Lwanjiro na Chalangwa. Aidha azindua barabara ya Mbeya – Chunya kuweka Jiwe la Ujenzi wa Barabara ya Chunya –
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AZINDUA JENGO LA NHIF TOWER MKOANI MBEYA
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kazi kubwa inayofanya. Hayo ameyasema kwenye mkutano wa hadhara mkoani Mbeya kwenye viwanja vya Ruanda Nzove wakati akizungumza na wananchi muda mfupi baada ya kuzindua jengo la NHIF Tower …
Soma zaidi »LIVE:MKUTANO WA HADHARA WA DKT.MAGUFLI KATIKA VIWANJA VYA RUHANDA NZOVWE JIJINI MBEYA
MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO
URAFIKI WETU TANZANIA NA CHINA UNA FAIDA NA MAFANIKIO MAKUBWA – PROF. NDALICHAKO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, zimeadhimisha miaka 55 ya uhusiano wa kidiplomasia ulioasisiwa na Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mao Ze Dong, Rais wa kwanza wa China. Akiongea katika maadhimisho …
Soma zaidi »