Recent Posts

SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZAIDI YA 1,600 NDANI YA UTUMISHI WA UMMA

Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi yakeya kutoa fursa za Ajira kwa Watanzania wenye sifa, ujuzi na elimu katikag ngazi mbalimbali kadri ya mahitaji kwa lengo la kuongeza rasilimaliwatue Serikaliniili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wananchi. Kati ya mwezi Machi na Aprili, 2019 zaidi ya nafasi wazi …

Soma zaidi »

SERIKALI YAKUSANYA KODI YA SH.BILLION 5.5 ZA TAULO ZA KIKE

Sserikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2016/17 hadi 2017/18 ilikusanya kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ya kiasi cha Sh. Bilioni 5.5 kwenye bidhaa ya taulo za kike ‘Sanitary Pads’ zilizoingizwa nchini kabla ya kodi hiyo kuondolewa Juni mwaka jana. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Fedha …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA OFISI MPYA ZA WIZARA YA NISHATI, MTUMBA, DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ofisi mpya za Wizara ya Nishati na Wizara nyingine zilizopo Mtumba jijini Dodoma ili kuona kama lengo la Serikali la kutoa huduma kwa wananchi katika eneo hilo limefanikiwa. Waziri Mkuu alifanya ziara hiyo tarehe 23 Aprili, …

Soma zaidi »

WAGONJWA 15 KUPATA MATIBABU YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mwenzao wa  Hospitali ya Meditrina ya nchini India wanafanya kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa  siku tatu ya kuzibua mishipa ya damu  ambayo imeziba kwa kiwango kikubwa (Chronic Total Occlusion) na hivyo kushindwa kupitisha damu vizuri. …

Soma zaidi »