Recent Posts

KIKAO CHA PILI CHA UJENZI WA MJI WA SERIKALI DODOMA

Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara zote wakifuatilia maelekezo yanayotolewa na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma na Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma Bwana Meshack Bandawe,(Hayupo Pichani) kuhusu utekelezaji wa Ujenzi wa ofisi za Wizara za ghorofa zinazojengwa kwa awamu ya pili katika Mji …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTEKELEZA MRADI WA LNG – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kwa dhati kuhakikisha kuwa mradi wa kusindika gesi asilia kuwa kimiminika (LNG) utakaogharimu Dola za Kimarekani bilioni 30 sawa na takriban shilingi trilioni 70, unaanza kazi ili kuleta manufaa kwa wananchi. Majaliwa ameyasema hayo (Jumanne, Oktoba 5, 2021) wakati akizungumza na wananchi katika …

Soma zaidi »

SERIKALI YABAKISHA VIJIJI 40 VILIVYOKUWA MAENEO YA HIFADHI DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM CHEMBA Serikali imevibakisha vijiji 40 kati ya 42 ambavyo wananchi wake walikuwa wakiishi na kuendesha shughuli zao kwenye maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba katika mkoa wa Dodoma. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wananchi wa vijiji hivyo kuendelea na shughuli zao baaada ya kuwepo mgogoro wa …

Soma zaidi »

SWEDEN YAMWAGA BILIONI 196 KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU NCHINI

Na. Peter Haule, WFM, Dar es Salaam Tanzania imepokea msaada wa Krona za Sweden milioni 750 sawa na shilingi bilioni 196 kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EPforR II). Mkataba wa Msaada huo umesainiwa jijini Dar es …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AAGIZA KUPUNGUZWA TOZO ZA MAFUTA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa  kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta  hapa nchini zenye thamani ya shilingi Bilioni 102 kwa mwaka, kwa lengo la kupunguza bei za mafuta ili kuwapa unafuu wananchi. Rais Samia ametoa maagizo hayo  tarehe 05 …

Soma zaidi »