Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo (kulia), akimtambulisha rasmi Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Said kwa Wafanyakazi wa REA mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi, Septemba 29, 2021 Dodoma. Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan …
Soma zaidi »Recent Posts
SERIKALI YATOA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 480 KWA HOSPITAL YA CHALINZE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa …
Soma zaidi »VIWANDA VINA MCHANGO MKUBWA UKUAJI WA MAENDELEO KIUCHIMI – NAIBU WAZIRI KIGAHE
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe akitoa salamu za Wizara baada ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuzindua Upanuzi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro. Septemba 23, 2021 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe ameeleza kuwa Viwanda vina …
Soma zaidi »ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE VIKAO VYA HALMASHAURI
Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mateus, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika semina iliyofanyika jijini Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji …
Soma zaidi »SERIKALI IMESISITIZA NIA YAKE KUENDELEA KUJENGA, KUBORESHA NA MAZINGIRA WEZESHI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akitoa tuzo kwa mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya mpito ya Uratibu Uchaguzi wa NaCONGO Francis Kiwanga, katika Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Jijini Dodoma. Serikali imesisitiza nia yake kuendelea kujenga, kuboresha na mazingira …
Soma zaidi »UJENZI WA MAJENGO MJI WA SERIKALI SASA SI WAKATI WA NADHARIA
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemkabidhi mkandarasa anayejenga jengo la wizara yao ambapo sasa vifaa vinatakiwa kuletwa katika eneo la ujenzi ambalo tayari limeshasafisha kwa kuanza kwa ujenzi huo. Hayo yamebainika leo septemba 29, 2021 Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma ambapo zoezi la makabidhiano limefanyika mbele ya Wakala …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA IKULU CHWAMWINO
Rais Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 28 Septemba, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Katika mazungumzo hayo, Rais Samia amemueleza Dkt. Ghanem vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Sita ambavyo ni kuboresha huduma za jamii ikiwemo …
Soma zaidi »BENKI YA DUNIA YAJA NA NEEMA KWA TANZANIA
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akieleza kuhusu suala la ajira kwa vijana wakati wa mkutano na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem (hayupo pichani), jijini Dodoma. Benki ya Dunia imeahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA WACHUNGAJI NA MAASKOFU NA MMADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ANGLKANA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu ST. John’s Jijji Dodoma leo Sept 28,2021. Caption. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MAKAMU WA BENKI YA DUNIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Septemba 28 , 2021. Makamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septamba 28, 2021 …
Soma zaidi »