Recent Posts

WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWANA UTENDAJI WA NSSF, AWAHIMIZA KUENDELEZA UFANISI

Mkurugenzi Mkuu NSSF Bw.Masha Mshomba ahutubia na kueleza utekelezaji wa ofisi yake kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la NSSF lililofanyika Mkoani Morogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Utatibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amepongeza kazi inayofanywa na Mfuko …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA AJIRA ZA WALIMU 6,949

Na Adili Mhina. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kuacha kazi, kufukuzwa …

Soma zaidi »

UADILIFU KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI WA BLUE

Na. Peter Haule, WFM, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewataka watakaopewa jukumu la kuendesha Boti iliyotolewa kwa Taasisi ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Kikwajuni kwa ajili shuguli za uchumi wa blue kuwa waaminifu ili …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AMKABIDHI GARI RAIS MSATAAFU MZEE MWINYI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikata utepe ili kuzindua Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Mei, 2021. …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMTEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na  Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango. (Picha na Ofisi …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AMEZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUWA NA MFUMO BORA WA MAJITAKA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amezitaka mamlaka za maji nchini kuwa na mifumo bora ya majitaka ili kuyadhibiti yasitiririke ovyo na kuhatarisha mazingira na afya. Jafo ametoa agizo hilo Mei 7, 2021 alipofanya ziara ya kufuatilia utekelezaji wa agizo alilolitoa alipotembelea eneo …

Soma zaidi »