Recent Posts

NAIBU WAZIRI KUNDO – SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) – Mhe. Mhandisi. Andrea Mathew Kundo amemwagiza Mkuu wa Kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kanda ya Mashariki kushughulikia haraka maombi ya Halmashauri ya Chalinze ya kuimarisha MIundombinu ya mawasiliano ikiwemo kupatiwa kibali cha Masafa ya radio (radio frequency) na …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AAGIZA MAENEO YA MRADI WA KIMKAKATI KUPANGWA

Na Munir Shemweta, Misungwi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameitaka halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza kuhakikisha inapanga na kupima maeneo yanayopitiwa na miradi ya kimkakati ya treni ya Mwendokasi (SGR) na Kivuko cha Kigongo katika halmashauri hiyo mkoani Mwanza. Akizungumza wakati wa …

Soma zaidi »

RUANGWA YATOA MIKOPO YA VIFAA VYA SH. MILIONI 357 KWA WAJASIRIAMALI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 357 kwa vikundi vitano vya wajasiriamali vilivyotolewa kwa mkopo na Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ikiwa ni asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri.  Pia, Waziri Mkuu amepokea msaada wa madawati 100 yenye thamani ya …

Soma zaidi »

JIMBO LA CHALINZE KUJENGWA KITUO CHA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA

Na. Andrew Chale, Chalinze Jimbo la Chalinze linatarajiwa kujengwa jengo la kituo cha huduma za Matibabu ya Dharura ‘Emergency Department’ litakalosaidia Watanzania mbalimbali ikiwemo wa wanaotoka Mikoa jirani ikiwemo ya Tanga, Morogoro, Dar es Salaam pamoja na Pwani kupatiwa huduma za haraka na za kibingwa pindi wapatapo shida za ajali …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWATAKA WATENDAJI WA SERIKALI KUTOA TAARIFA

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watendaji wa Serikali kutoa taarifa za utendaji wa Serikali katika maeneo yao, sambamba na vyombo vya habari kutoandika habari zisizo za ukweli. Rais Magufuli, ameyasema hayo leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini …

Soma zaidi »