Recent Posts

MSAJILI AWA ‘MBOGO’ KWA WAFAMASIA WANAOKIUKA MAADILI.

Na Rayson Mwaisemba WAMJW- DomMsajili wa Baraza la Famasi nchini Bi Elizabeth Shekalaghe ametoa siku 14 kwa wafamasia wanaosimamia famasi ambazo hazipo katika maeneo yao ya kazi kujisalimisha katika Baraza hilo.Bi. Shekalaghe ametoa agizo hilo leo wakati akiongea na maafisa habari wa Wizara ya Afya katika ofisi zake zilizo katika …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AAGIZA KODI NA TOZO ZA MKONGE ZIFANYIWE MAPITIO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ifanye mapitio ya kodi na tozo zote zilizopo katika zao la mkonge kwa lengo la kubaini ni zipi zenye manufaa kwa wadau na Taifa na kuainisha zisizokuwa na tija ili zifanyiwe mchakato wa kuondolewa. Pia, Waziri Mkuu alizitaka taasisi za kifedha nchini ziendelee …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MADINI AKUTANA NA UONGOZI MPYA WA KAMPUNI YA TANZAM 2000

Na Greyson Mwase Waziri wa Madini, Doto Biteko leo tarehe 20 Januari 2021 amekutana na uongozi mpya wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya TANZAM 2000 jijini Dodoma uliofika kwa lengo la kujitambulisha. Kikao hicho pia kimeshirikisha Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa, Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara …

Soma zaidi »