Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini
Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini
Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,
Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge
jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Utalii wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. William Lukuvi wakati akifafanua kuhusu kazi, muundo na majukumu
ya Wizara yake katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.