Umoja wa Ulaya EU umetoa mafunzo ya udhibiti wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi kwa nchi tano za Afrika kwa lengo la kusaidia udhibiti wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi bila kufuata utaratibu pamoja na utoroshwaji wa vyanzo vya mionzi vilivyoibiwa kwa matumizi yasiyo salaama na hatarishi. Washiriki wa mafunzo …
Soma zaidi »SERIKALI KUBORESHA MAZINGIRA YA UPATIKANAJI WA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM
Serikali imesema kipaumbele kikubwa katika sekta ya elimu kwa sasa ni kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalum wanakuwa na mazingira salama na rafiki katika mchakato wa kujifunza ili kuwawezesha kupata elimu bora. Kauli ya Serikali imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansina Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu wakati …
Soma zaidi »LATE LIVE:BODI YA MIKOPO YATAMBULISHA MFUMO MPYA
LATE LIVE: “SHULE ZOTE HIZI ZA BINAFSI, KWA HAYA WALIYOKIUKA; KUFIKIA KESHO WIZARA IPATE TAARIFA ZAKE!” – NAIBU WAZIRI MHE. WAITARA
Ni Shile ZOTE BINAFSI ambazo zimeongeza ada kiholela msimu huu wa masomo. Ni Shule zote nchini ambazo zimekiuka maelekezo ya wizara na kuwakaririsha wanafunzi madarasa na kupanga wastani kinyume na utaratibu wa nchi. Ni Shule ambazo zimewalazimisha wanafunzi kulipoti na vitu kadhaa kinyume na maelekezo ya serikali (Kuwalazimisha wanafunzi kwenda …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri nchini pamoja na maafisa elimu kuachana kabisa na vitendo vya kuwanyima fursa walimu ambao wanahitaji kujifunza somo la tehema na badala yake wahakikishe wanatoa vibali bila ya kuwa na …
Soma zaidi »Rangi ya njano inawakilisha madini yote, sio dhahabu pekee yake – Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefuta mara moja maelekezo ya barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya tarehe 23 Novemba, 2018 iliyoandikwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) kwenda kwa Wakuu …
Soma zaidi »LIVE: UZINDUZI WA KAMPENI YA MRADI WA KUTUNZA NA KUPANDA MITI KUZUNGUKA MSITU MLIMA KILIMANJARO
RAIS MAGUFULI AKIKAGUA GWARIDE KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KULA KIAPO NOVEMBA 05, 2015.
MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KUFANYIKA KATIKA SHULE 4873 NA VITUO 1072.
Wanafunzi wa kidato cha nne nchini kote leo wameanza mitihani ya kumaliza elimu ya kidato cha nne katika shule 4873 na vituo vya kujitegemea 1072 wanaanza rasmi mitihani yao leo November 5 hadi 23 mwaka huu ya kumaliza elimu yao ya kidato cha nne. Tunawatakia wanafunzi wote mitihani mema.
Soma zaidi »UFAFANUZI WA UDAHILI WA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM.
Ni ule wa kufutiwa kuchaguliwa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/19 zaidi ya 680. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – Taaluma Prof. Bonaventure Rutinwa atoa ufafanuzi. Fuatilia katika video hii Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako atoa maelekezo kwa Chuo …
Soma zaidi »