Maktaba Kiungo: Elimu

TRA YAFAFANUA MABADILIKO YA SHERIA KWENYE VIWANGO VYA KODI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi wa mabadiliko ya viwango vya kodi kama vilivyoainishwa na Sheria ya Fedha ya mwaka 2019 ambapo mabadiliko hayo yamegusa Sheria za Kodi ya Mapato, Ongezeko la Thamani (VAT), Usajili wa Vyombo vya Moto pamoja na Usalama Barabarani.   Akizungumza wakati wa Wiki ya Elimu …

Soma zaidi »

KIKUNDI CHA WAKE WA VIONGOZI CHAKABIDHI MADARASA MANNE NA VYOO KUMI KWA KUTUO CHA WATOTO WENYE MAHITAHJI MAALUM CHA BUHANGIJA

Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa ametoa wito kwa wazazi na walezi watoto wenye mahitaji maalumu  kutowaficha na kuwatelekeza na badala yake wawape nafasi ya kupata elimu kwa sababu ni haki yao ya msingi. Mama Majaliwa ambaye pia ni Mlezi wa Umoja wa Wake wa Viongozi (New Mellenium Women …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NDITIYE AZINDUA UUNGANISHAJI WA SHULE ZA SIMIYU KWENYE INTANETI

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua uunganishaji wa shule za sekondari za Mkoa wa Simiyu kwenye mtandao wa intaneti kwa kuzifunga kompyuta mia moja zilizotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kompyuta za mpakato ishirini zilizotolewa na Kampuni ya Vodacom kwenye mtandao wa intaneti …

Soma zaidi »

SERIKALI YAKAMILISHA MCHAKATO WA KUWASOMESHA WATAALAM 100 WA KILIMO ISRAEL

Serikali imekamilisha zoezi la kuwapeleka wataalam 100 wa kilimo nchini Israel kujifunza mbinu bora na teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji nchini. Akiongea na wataalam hao wakati wa hafla ya kuwaaga jana jioni, Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika …

Soma zaidi »

WIZARA YA ELIMU YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA UJENZI WA SHULE YA SISTER MARY

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imezindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule maalum kwa watoto wa kike inayosimamiwa na Masisita wa Maria inayoongozwa na Baba Askofu Msataafu Polycarp Cardinal Pengo. Shule ya Sister Mary ni ya kwanza wa aina yake Afrika ambayo inatoa elimu kwa watoto wa …

Soma zaidi »

SERIKALI KUKARABATI SHULE KONGWE YA GALANOS, MILIONI 696 ZATENGWA

Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 696 kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya shule kongwe ya sekondari Galanos iliyopo mkoani Tanga. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlolojia William Ole Nasha alipotembelea shule hiyo kukagua maendeleo ya ukarabati wa miundombinu ambapo amesema fedha hizo zimetolewa kupitia …

Soma zaidi »

BILIONI 4.6 KUJENGA NA KUKARABATI CHUO CHA UFUNDI KARAGWE

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni 4.6 kutekeleza mradi wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya majengo ya Chuo cha Ufundi cha Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe. Hayo yamesemwa Wilayani Karagwe na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Wiliam Ole Nasha katika …

Soma zaidi »