Maktaba Kiungo: Elimu

UMOJA WA ULAYA EU WATOA MAFUNZO YA UDHIBITI WA VYANZO VYA MIONZI KWA NCHI TANO ZA AFRIKA.

Umoja wa Ulaya EU umetoa mafunzo ya udhibiti wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi kwa nchi tano za Afrika kwa lengo la kusaidia udhibiti  wa uingizaji wa vyanzo vya mionzi bila kufuata utaratibu pamoja na utoroshwaji wa vyanzo vya mionzi vilivyoibiwa kwa matumizi yasiyo salaama na hatarishi. Washiriki  wa mafunzo …

Soma zaidi »

LATE LIVE: “SHULE ZOTE HIZI ZA BINAFSI, KWA HAYA WALIYOKIUKA; KUFIKIA KESHO WIZARA IPATE TAARIFA ZAKE!” – NAIBU WAZIRI MHE. WAITARA

Ni Shile ZOTE BINAFSI ambazo zimeongeza ada kiholela msimu huu wa masomo. Ni Shule zote nchini ambazo zimekiuka maelekezo ya wizara na kuwakaririsha wanafunzi madarasa na kupanga wastani kinyume na utaratibu wa nchi. Ni Shule ambazo zimewalazimisha wanafunzi kulipoti na vitu kadhaa kinyume na maelekezo ya serikali (Kuwalazimisha wanafunzi kwenda …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO AKABIDHI KOMPYUTA 25 KWA SHULE ZA SEKONDARI 14 KATIKA WILAYA YA KISARAWE

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote wa halmashauri nchini pamoja na maafisa elimu kuachana kabisa na vitendo vya kuwanyima fursa walimu ambao wanahitaji kujifunza somo la tehema na badala yake wahakikishe wanatoa vibali bila ya kuwa na …

Soma zaidi »

“SERIKALI YETU INATUJALI NA KUTUPENDA SANA” – DIAMOND PLATNUMZ

  Afanya mahojiano na waandishi wa habari jijini Nairobi. Azungumzia tatizo lililotokea katika onesho la Mwanza na kukiri kuwa yeye na wasanii wenzake walikosea na serikali imewasikiliza na kuwasamehe. Aeleza taratibu walizoelekezwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kumaliza kosa walilofanya na namna wanavyolitekeleza. Sasa Wasafi Festival 2018 kuendelea …

Soma zaidi »