TRA YAFAFANUA MABADILIKO YA SHERIA KWENYE VIWANGO VYA KODI

 • Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi wa mabadiliko ya viwango vya kodi kama vilivyoainishwa na Sheria ya Fedha ya mwaka 2019 ambapo mabadiliko hayo yamegusa Sheria za Kodi ya Mapato, Ongezeko la Thamani (VAT), Usajili wa Vyombo vya Moto pamoja na Usalama Barabarani.  
 • Akizungumza wakati wa Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani Morogoro katika Wilaya ya Mvomero, Afisa Msimamizi wa Kodi Mkuu wa TRA, Julius Mjenga amesema kuwa, mabadiliko katika sheria ya kodi ya mapato, jedwali la viwango vya kodi kwa wafanyabiashara wadogo wakazi, vimepunguzwa kutoka sh. 150,000 hadi kufikia sh. 100,000, kwa wale wenye mzunguko wa mauzo yanayozidi sh. milioni nne hadi milioni 7 kwa mwaka.
 • TRA 1-01
  Afisa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Ernesta Shirima (kushoto) akiwaelimisha Vijana wa Bodaboda wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kuhusu umuhimu wa kuhamisha kadi za vyombo vya moto wakati wa Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi Wilayani hapo.
 • “Kwa wafanyabiashara wenye mauzo kati ya sh. milioni saba hadi sh. milioni 11, viwango vya kodi vimepunguzwa hadi kufikia sh. 250,000 kutoka sh. 318,000 iliyokuwepo hapo awali,” alisema Mjenga.
 • Pia, kwa wafanyabiashara wenye mauzo kati ya sh. milioni 11 hadi sh. milioni 14, viwango vya kodi vimepunguzwa hadi kufikia sh. 450,000 kutoka sh. 546,000.
 • “Lengo la kupunguza viwango hivi ni kukuza ridhaa ya kulipa kodi kwa hiari na kuongeza Mapato ya Serikali,” alifafanua Mjenga.
 • Kwa upande wa sheria ya usajili na uhamishaji wa umiliki wa vyombo ya moto, Mjenga ameeleza kuwa, ada ya kupata nakala ya kadi ya gari ni sh. 50,000, pikipiki ya magurudumu matatu (bajaji) sh.30,000 na pikipiki ni sh. 20,000 badala ya sh. 10,000 iliyokuwa ikitozwa kwa vyombo vya aina hiyo kabla ya tarehe 1 Julai, 2019.
TRA 2-01
Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Rahabu Kibona (kulia) akichukua maelezo ya Mlipakodi kwa ajili ya maandalizi ya kusajiliwa na kupatiwa Namba ya Utambulisho ya Mlipakodi (TIN) wakati wa Wiki ya Elimu kwa Mlipakodi Wilayani hapo.
 • Aidha, akizungumzia juu ya mabadiliko ya viwango vya leseni za udereva chini ya sheria ya usalama barabarani, Mjenga amesema kuwa, leseni ya udereva inalipiwa sh. 70,000 kila baada ya miaka mitano ambapo kabla ya mabadiliko ilikuwa inalipiwa sh. 40,000 kila baada ya miaka mitatu.
 • “Mabadiliko haya kwa ujumla wake yamelenga kuongeza fursa kwa walipakodi na wananchi kwa ujumla kuongeza ufanisi katika biashara zao na hatimaye kuongeza mapato ya Serikali. Hivyo, natoa rai kwa walipakodi wote kutumia fursa hii adhimu kwa maendeleo ya taifa letu,” alieleza Mjenga.
 • Wiki ya elimu kwa mlipakodi katika Mikoa ya Morogoro na Pwani itamalizika tarehe 17 Novemba, 2019 ambapo shughuli zinazofanyika ni pamoja na usajili wa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN), kupokea mrejesho, kusikiliza kero na kujibu maswali yanayoulizwa na wafanyabiashara pamoja na wananchi kwa ujumla. Na Veronica Kazimoto, Mvomero
Ad

Unaweza kuangalia pia

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo …

122 Maoni

 1. I’m so happy to read this. This is the type of manual that needs to be given and not the random misinformation that’s at the other blogs. Appreciate your sharing this best doc.

 2. https://ciprodelivery.pro/# buy cipro online without prescription

 3. Paxlovid buy online: paxlovid india – paxlovid for sale
  http://clomiddelivery.pro/# clomid buy
  buy paxlovid online paxlovid covid paxlovid for sale

 4. can i order clomid pills: can you buy generic clomid pills – where to get clomid without insurance
  https://amoxildelivery.pro/# amoxicillin without prescription

 5. paxlovid cost without insurance: Paxlovid over the counter – paxlovid buy
  http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid generic
  where can you buy amoxicillin over the counter amoxicillin 500 mg cost amoxicillin buy no prescription

 6. https://amoxildelivery.pro/# amoxicillin 500 mg without a prescription
  paxlovid cost without insurance paxlovid buy paxlovid pharmacy

 7. ciprofloxacin: cipro 500mg best prices – ciprofloxacin 500mg buy online
  http://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 40mg capsules

 8. ciprofloxacin: buy cipro online canada – ciprofloxacin generic

 9. https://clomiddelivery.pro/# how to get generic clomid without insurance

 10. http://clomiddelivery.pro/# where can i get generic clomid without rx
  amoxicillin 500mg amoxicillin 500 mg brand name amoxicillin discount coupon

 11. doxycycline pills: buy doxycycline united states – doxycycline 50 mg cost

 12. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

 13. can i buy amoxicillin online: amoxicillin 800 mg price – amoxicillin 500mg tablets price in india
  https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid price
  where to buy generic clomid now can you get clomid without a prescription how to buy clomid

 14. can you get cheap clomid prices: cost of clomid – buy generic clomid without dr prescription
  https://doxycyclinedelivery.pro/# buy doxycycline online usa

 15. where to buy clomid no prescription: can you get generic clomid for sale – how to buy cheap clomid
  http://clomiddelivery.pro/# how to get clomid no prescription
  buy doxycycline south africa buy generic doxycycline buy cheap doxycycline uk

 16. https://clomiddelivery.pro/# cost cheap clomid price
  amoxicillin 500 mg without a prescription amoxicillin 500mg capsule can you buy amoxicillin over the counter

 17. cipro 500mg best prices: antibiotics cipro – cipro
  https://clomiddelivery.pro/# where can i get generic clomid no prescription

 18. amoxicillin 500mg cost: can i buy amoxicillin over the counter – purchase amoxicillin online

 19. https://doxycyclinedelivery.pro/# can you buy doxycycline over the counter in south africa

 20. http://ciprodelivery.pro/# buy ciprofloxacin over the counter
  631311 doxycycline doxycycline india doxycycline 150 mg cost comparison

 21. amoxicillin without prescription: amoxicillin 775 mg – order amoxicillin online uk
  https://doxycyclinedelivery.pro/# where can i buy doxycycline over the counter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *