Shirika la Reli Tanzania TRC limeanza kukarabati njia ya Reli ya kati ya kutoka Dar Es Salaam mpaka Isaka iliyopo Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga takribani kilomita 970 ili kuimarisha reli hiyo yenye kiwango cha Mitagauge zoezi ambalo lilianza Juni mwaka huu na kutarajia kukamilika mwaka 2020. Katika Utakabati …
Soma zaidi »JENGO LA 3 LA ABIRIA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE KUANZA KUTUMIKA MWEZI UJAO
TASWIRA YA UWANJA WA NDEGE TERMINAL III UKIWA KATIKA MAJARIBIO
MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MFUTO KATIKA MTO NGUYAMI ATAKIWA KUONGEZA KASI YA UJENZI
Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo mara baada ya kukagua barabara ya Iyogwe-Chakwale-Ngilori yenye urefu wa KM 42, wilayani Gairo, Naibu Waziri amesema Serikali imejipanga kuhakikisha madaraja 3 katika barabara hiyo yanakamilika na hivyo kuwezesha shughuli za kiuchumi na uzalishaji kwa wakazi wa eneo hilo.
Soma zaidi »UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II KUMALIZIKA HIVI KARIBUNI
SERIKALI YAJA NA SULUHISHO LA WALANGUZI WA TIKETI ZA MABASI
MUONEKANO WA BANDARI YA KAGUNGA MARA BAADA YA KUFANYIWA UKARABATI MKOANI KIGOMA
BANDARI YA MUSOMA YAONGEZA MAKUSANYO YAKE YA KILA MWEZI
UJENZI WA BARABARA NJIA SITA KUANZIA KIMARA WAFIKIA ASILIMIA 28
Serikali haijasitisha ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Dar – Chalinze bali ujenzi huo unaendelea kwa awamu na kwasasa ujenzi huo umefikia asilimia 28 kwa awamu ya kutoka Kimara mpaka Kibaha na mkandarasi anaendelea yupo eneo la kazi na analipwa vizuri. Hayo yamesemwa bungeni na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL
Rais Dkt.John Magufuli siku 30 Ofisi ya Rais-IKULU, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara pamoja na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kutum kutumia huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Nchini (TTCL)ikiwemo laini, ili kupanua huduma za mawasiliano ya Mtandao wa Kampuni hiyo nchini. …
Soma zaidi »