Maktaba ya Kila Siku: September 8, 2018

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasalimiana Mkoani Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuanza ziara ya kikazi mkoani Kigoma kwa siku nne.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 8 Septemba, 2018 anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya kukagua na kuhimiza shughuli za maendeleo mkoani Kigoma kwa siku nne. Mara atakapowasili mkoani Kigoma atapokea Taarifa ya Maendeleo ya Mkoa. Aidha, tarehe 9 Septemba, Makamu …

Soma zaidi »