NEC: Imetangaza uchaguzi mdogo katika kata 37 za Tanzania bara zilizopo katika Halmashauri 27 nchini.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata 37 za Tanzania bara zilizopo katika Halmashauri 27 nchini, ikieleza kuwa uchaguzi huo utafanyika Oktoba 13, 2018

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage amesema hapo jana kuwa fomu za uteuzi wa wagombea katika uchaguzi huo zitatolewa kati ya Septemba 15 hadi 21, 2018. 

Ad

Ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.