FLYOVER YA ENG. MFUGALE; KUTOKA WAZO, AHADI, MAAMUZI, USIMAMIZI HADI UHALISIA!

“Mtakumbuka ndugu zangu.. wakati tukiomba kura.. ili tuchaguliwe; Tulieleza mengi.”

“Na moja ya yale tuliyoyaeleza..na hasa mimi nilipokuwa hapa Dar es Salaam, nilisema nitahakikisha barabara ya Flyover inajengwa na Dar es Salaam inabadilika.”

Ad

“Ahadi ni deni. Nina uhakika kwa wana Dar es Salam leo ni ushahidi tosha.. kwa sababu tulipokuwa tukijinadi walisema hilo haliwezekani..”

ijengwe barabara ya juu kabisa hapa Dar es Salaam?! Ili watani zangu wazaramo wawe wanafungia ndoa huko..hicho hakiwezekani!”

“Lakini hayawi hayawi, yamekuwa..”

“kazi yangu itakuwa ni kuchapa kazi tu..kazi tu.. kazi tu..” – Rais Magufuli

#SisiNiTanzaniaMpyA

Kutazama video ya Mhe. Rais Magufuli akieleza wazo la kujenga Flyover; Bofya link ifuatayo:-

#MATAGA

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI, WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na …

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.