Maktaba ya Mwezi: September 2018

“Makao makuu (TAKUKURU) TOKA toka mwezi wa 4 hadi wa 9, Hawajashughulika! Ninaona mkurugenzi Mkuu akae pembeni, Akafanye kazi nyingine.’ – RAIS MAGUFULI

“Mtu amenunua Musoma Hotel hashughuliki.. Kila kandarasi hamalizi.. Waziri Mkuu akapita hapa.. Mara. Akitoa maagizo kwenye chombo cha PCCB.. – TAKUKURU shughulikia hili. Mkuu wa TAKUKURU wa mkoa wa Mara akalishughulikia. Akalimaliza mwezi wa nne (Aprili 2018)! Akalipeleka Makao Makuu (Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa …

Soma zaidi »