Maktaba ya Mwezi: September 2018

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Ashinda Pambano la Masumbwi Birmingham Uingereza

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (miaka 23) jumapili tarehe 08 Septemba 2018 alimshinda kwa TKO (Technical KnockOut) bondia Muingereza Sam Eggington bondia (miaka 25) Mwakinyo ambaye katika pambano hilo hakuwa anapewa nafasi ya kushinda, alionyesha umahiri wa hali ya juu na kulimaliza pambano katika round ya pili tu. Bondia huyo Mtanzania …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Soma zaidi »