video & link; TESEApp Inamsaidiaje Mwanafunzi Kusoma mtandaoni?

  • Wataalamu wahojiwa na kuelezea.
  • Wasimulia na kuonyesha mifano dhahiri kilichomo ndani ya App hiyo ambacho ni msaada mkubwa kwa mwanafunzi.
MENEJA MAHUSIANO NA USHIRIKA TESEApp
Bi Maria Masome, Meneja Mahusiano na Ushirika wa TESEApp akitoa maelezo alipohojiwa katika kipindi cha Morning Trumpet cha televisheni ya Azam.
  • Sasa tuition inaweza kuwa ni historia kwa wanafunzi wa sekondari nchini.
MENEJA MASOKO WA TESEApp
Bwn. Edge Sintoo, Meneja Masoko wa TESEApp akielezea jambo kuhusu ufanyaji kazi na namna mwanafunzi anaweza kuipata TESEApp katika simu, tablet, ipad au kifaa chochote ambacho kinaweza kutumia internet.
  • Wasema TESEApp ina kila hitaji la mwanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nchini.
MAELEZO YA NAMNA YA KUIPAKUWA (KU-DOWNLOAD) TESEApp
Tangazo la picha kwa lugha ya ki ambalo linaelezea hatua zote za kufuata ili mwanafunzi aweze kujipatia TESEApp kwa gharama nafuu katika simu, ipad au tablet yake.

 

Tanzana kipindi kizima cha MORNING Trumpet cha Azam Tv ambapo wataalam  wa app hiyo walikuwa wakihojiwa na kujibu maswali ya namna inayofanya kazi na namna ya kuipata katika SIMU, IPAD, TABLET na vifaa vingine vinavyotumia internet.

 

 

maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti kwa Taifa.

Unaweza kuangalia pia

TRA – WAFANYABIASHARA MSIJIHUSISHE NA BIASHARA ZA MAGENDO

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara na wachuuzi wanaoishi jirani na fukwe za Bahari …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.