UJENZI WA MGODI WA MFANO LWAMGASA UMEKAMILIKA KWA 80%

MGODI WA MFANO GEITA
Hadi kufikia Septemba, 2018 kazi ya Ujenzi wa Mgodi wa Mfano Lwamgasa na usimikaji wa mitambo ya uchenjuaji imekamilila kwa asilimia 80 Mkoani Geita.

Lengo la mgodi huo ni kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo kuhusu uchimbaji sahihi  na uchenjuaji bora wa madini ya  dhahabu.

Ad

Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa ambao umejengwa mahsusi kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) unaosimamiwa na Wizara ya Nishati nchini.

Mgodi wa Mfano wa Lwamgasa unajengwa na Serikali,Mgodi wa Almasi Mwadui na Migodi ya Busolwa Mining Ltd na Nsangano Gold Mine.

MGODI WA MFANO

MGODI WA MAFUNZO

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

Uzinduzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya UCSAF Dodoma: Kuimarisha Mawasiliano Vijijini

25 Aprili 2024, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *