Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora mhe. Gift Msuya akiwa kwenye picha ya pamoja na wananchi waliopatiwa hati za haki milki za kimila za kumiki ardhi Wilayani humo hivi karibuni wakati wa hafla ya kufungua mafunzo hayo yaliyowanufaisha wakulima zaidi ya 200 katika Wilaya hiyo ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuwakwamua kiuchumi wakulima hapa nchini.

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWAWEZESHA KUPITIA MKURABITA

  • Wananchi Wilayani Uyui mkoani Tabora Wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwawezesha kurasimisha mashamba yao na kupatiwa hati za haki milki za kumiliki ardhi hali inayowawezesha kujikwamua kiuchumi.
  • Baadhi ya wananchi hao wakizungumza wakati wa mahojiano maalum Wilayani humo akiwemo mkazi wa  Miyenze Bw. Julius Magoi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imeonesha dhamira ya dhati kuwawezesha wananchi Vijijini kupitia Mpango wa Kurasimishaji Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA).
GF
Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora mhe. Gift Msuya akifungua mafunzo kwa wakulima wa Kata ya Miyenze Wilayani humo hivi karibuni, mafunzo hayo yakuwajengea uwezo wakulima waliorasimisha mashamba yao Wilayani humo na kupatiwa hati za haki milki za kimila za kumilki ardhi yamefanyika katika Kata za Miyenze na Lutende.
  • “Tunamshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha MKURABITA kuturasimishia mashamba yetu, kuyapima na kupatiwa hati za haki milki za kimila hali inayotuwezesha kuongeza tija katika uzalishaji mashambani hasa katika mazao ya biashara” Alisisitiza Bw. Magoi
  • Akifafanua amesema kuwa MKURABITA imeendesha mafunzo  yanawawezesha wakulima kuendana na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwakwamua wananchi wanyonge hasa wanaoishi vijijini katika Wilaya hiyo kwa kuwajengea stadi za kilimo bora, ufugaji wa kuku kibiashara, kilimo cha pamba, alizeti na mazao mengine .
  • Kwa upande wake mkazi mwingine wa Kata hiyo  Bi Nyamizi Shija amesema kuwa anamuomba Rais Magufuli aendelee na jitihada zake za kuwawezesha wananchi kama ambavyo anafanya sasa kwa kuwa wanaendelea kumuunga mkono katika kila jambo analofanya ili kuwaletea maendeleo.
GF
Meneja Urasimishaji Ardhi Vijijini kutoka MKURABITA Bw. Antony Temu akisisitiza kuhusu umuhimu wa mafunzo yakuwajengea uwezo wakulima waliorasimisha mashamba yao Wilayani Uyui na kupatiwa hati za haki milki za kimila za kumilki ardhi.
  • Aliongeza kuwa utendaji mzuri wa Serikali ya Awamu ya Tano umewawezesha wananchi kunufaika na rasilimali za nchi yao ikiwemo kutolewa kwa fedha zinzoelekezwa Vijijini kuwajengea uwezo akitolea mfano urasimishaji wa ardhi ambayo ni nyenzo kuu ya kuwawezesha wananchi.
  • Naye mkazi wa Kata ya Lutende Bw. Omari Mohamed amesema kuwa Serikali imeonesha kuwajali, kuwatambua, kuwathamini na kuwawezesha wananchi vijijini kwa kuwa inachukua hatua kuimarisha sekta zenye kuwainua wananchi ikiwemo kilimo na mifugo hali itakayowezesha kufikiwa kwa malengo yakutukwamua kiuchumi kama wakulima.
  • “Rais Magufuli yuko makini, anatetea wanyonge na anaelewa mahitaji ya wananchi tunaoishi vijijini ndio maana tumepata fursa ya kujengewa uwezo kupitia MKURABITA na kurasimishiwa mashamba yetu hali iliyotuwezesha kupata hati za haki milki za kimila za kumiliki ardhi ambazo tutazitumia kujikwamua kiuchumi” Alisisitiza Mohamed
GF
Sehemu ya wakulima walioshiriki mafunzo yakuwajengea uwezo ili waweze kutumia hati milki za kimila za kumiliki ardhi ili kujiletea maendeleo wakifuatilia mafunzo hayo hivi karibuni katika Kata ya Miyenze.
  • Akifafanua Mohamed amesema kuwa wananchi wanaendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuwaletea maendeleo.
  • Kwa upande wake Meneja Urasimishaji Ardhi Vijijini kutoka MKURABITA Bw. Antony Temu amebainisha kuwa wananchi wa Kata za Miyenze na Lutende wamejengewa uwezo wa kutekeleza kilimo chenye tija cha mazao ya biashara kama alizeti, pamba na mengine ili waweze kuzalisha kwa tija.
  • Aliongeza kuwa mada nyingine walizofundishwa wakulima hao ni pamoja na utunzaji wa mazingira, utunzaji wa kumbukumbu, fursa zilizopo katika taasisi za fedha, uandaaji wa mpango wa biashara na uanzishaji wa vyama vya ushirika.
  • Mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi waliorasimisha mashamba yao na kupatiwa hati za hakimilki za kimila yamefanyika katika Kata ya Miyenze na Lutende Wilayani Uyui mkoani Tabora na kushirikisha wakulima zaidi ya 200.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKATIBU WAKUU SMT NA SMZ WAKUTANA ZANZIBAR

134 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  3. Каталог рейтингов хостингов https://pro-hosting.tech на любой вкус и под любые, даже самые сложные, задачи.

  4. Check out the latest news, guides and in-depth reviews of the available options for playing Minecraft Az https://minecraft.com.az. Find the latest information about Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  5. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  6. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  7. Buy TikTok followers https://tiktok-followers-buy.com to get popular and viral with your content. All packages are real and cheap — instant delivery within minutes. HQ followers for your TikTok. 100% real users. The lowest price for TikTok followers on the market

  8. Pin Up Casino https://pin-up.ergojournal.ru приглашает игроков зарегистрироваться на официальном сайте и начать играть на деньги в лучшие игровые автоматы, а на зеркалах онлайн казино Пин Ап можно найти аналогичную витрину слотов

  9. The latest analysis, tournament reviews and the most interesting features of the Spider-Man game https://spider-man.com.az series in Azerbaijani.

  10. Paulo Bruno Ezequiel Dybala https://dybala.com.az Argentine footballer, striker for the Italian club Roma and the Argentina national team. World champion 2022.

  11. The young talent who conquered Paris Saint-Germain: how Xavi Simons became https://xavi-simons.psg-fr.com leader of a superclub in record time.

  12. Forward Rodrigo https://rodrygo.real-madrid-ar.com is now rightfully considered a rising star of Real Madrid. The talented Santos graduate is compared to Neymar and Cristiano Ronaldo, but the young talent does not consider himself a star.

  13. Vinicius Junior https://vinisius-junior.com.az player news, fresh current and latest events for today about the player of the 2024 season

  14. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  15. Gucci купить http://thebestluxurystores.ru по низкой цене в интернет-магазине брендовой одежды. Одежда и обувь бренда Gucci c доставкой.

  16. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  17. Game World https://kz-games.kz offers the latest online gaming news, game reviews, gameplay and ideas, gaming tactics and tips . Start playing our most popular and amazing games and get ready to become the leader in the online gaming world!

  18. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  19. The latest top football news https://football-kz.kz today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  20. Latest news about games for Android https://android-games.kz, reviews and daily updates. Read now and get the latest information about the most exciting games

  21. Check out Minecraft kz https://minecraft-kz.kz for the latest news, guides, and in-depth reviews of the game options available. Find the latest information on Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  22. Spider-Man https://spiderman.kz the latest news, articles, reviews, dates, spoilers and other latest information. All materials on the topic “Spider-Man”

  23. The latest top football news https://football.sport-news-eg.com today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  24. Промышленные насосы https://1nsk.ru/news/articles/nasosy-spetsialnogo-naznacheniya.html Wilo предлагают широкий ассортимент решений для различных отраслей промышленности, включая водоснабжение, отопление, вентиляцию, кондиционирование и многие другие. Благодаря своей высокой производительности и эффективности, насосы Wilo помогают снизить расходы на энергию и обслуживание, что делает их идеальным выбором для вашего бизнеса.

  25. The fascinating story of the rise of Brazilian prodigy Vinicius Junior https://realmadrid.vinicius-junior-cz.com to the heights of glory as part of the legendary Madrid “Real”

  26. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  27. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  28. The story of Robert Lewandowski https://barcelona.robert-lewandowski-cz.com, his impressive journey from Poland to Barcelona, ??where he became not only a leader on the field, but also a source of inspiration for young players.

  29. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  30. Find out how Pedro Gavi https://barcelona.gavi-cz.com helped Barcelona achieve success thanks to his unique qualities, technique and leadership, becoming a key player in the team.

  31. Star Brazilian striker Gabriel Jesus https://arsenal.gabriel-jesus-cz.com put in a superb performance to lead Arsenal to new heights after moving from Manchester City.

  32. The story of how the incredibly talented footballer Riyad Mahrez https://alahli.riyad-mahrez-cz.com reached new heights in career, moving to Al Ahly and leading the team to victory.

  33. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  34. Jackie Chan https://peakhour.jackie-chan.cz from a poor boy from Hong Kong to a world famous Hollywood stuntman. The incredible success story of Jackie Chan.

  35. Emily Olivia Laura Blunt https://oppenheimer.emily-blunt.cz British and American actress. Winner of the Golden Globe (2007) and Screen Actors Guild (2019) awards.

  36. An indomitable spirit, incredible skills and five championships – how Kobe Bryant https://losangeles-lakers.kobe-bryant.cz became an icon of the Los Angeles Lakers and the entire NBA world.

  37. An article about the triumphant 2023 Ferrari https://ferrari.charles-leclerc.cz and their star driver Charles Leclerc, who became the Formula world champion 1.

  38. Activision and Call of Duty https://activision.call-of-duty.cz leading video game publisher and iconic shooter with a long history market dominance.

  39. Latest Diablo news https://diablo-ar.com, detailed game descriptions and guides. Diablo.az – The largest Diablo information portal in Arabic.

  40. Manchester City and Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-fr.com explosive synergy in action. How a club and a footballer light up stadiums with their dynamic play.

  41. The official website where you can find everything about the career of Gianluigi Buffon https://gianluigi-buffon.com. Discover the story of this legendary goalkeeper who left his mark on football history and relive his achievements and unforgettable memories with us.

  42. Coffeeroom https://coffeeroom.by – магазин кофе, чая, кофетехники, посуды, химии и аксессуаров в Минске для дома и офиса.

  43. Discover how Riyad Mahrez https://al-ahli.riyad-mahrez.com transformed Al-Ahli, becoming a key player and catalyst in reaching new heights in world football.

  44. Find the latest information on Conor McGregor https://conor-mcgregor.uz news, fights, and interviews. Check out detailed articles and news about McGregor’s UFC career, wins, training, and personal life.

  45. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  46. Welcome to our official website, where you will find everything about the career of Gianluigi Buffon https://gianluigi-buffon.org. Discover the story of this legendary goalkeeper who made football history.

  47. The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.

  48. Discover Pierre Gasly’s https://alpine.pierre-gasly.com journey through the world of Formula 1, from his beginnings with Toro Rosso to his extraordinary achievements with Alpine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *