Maktaba ya Mwezi: October 2019

REA KUTOA VYETI MAALUM KWA WAKANDARASI MAHIRI

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), itatoa vyeti maalum kwa wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini, watakaokamilisha kazi kwa wakati na viwango stahiki, ili kuwapa motisha na utambuzi utakaowapa sifa ya kupewa tenda nyingine mbalimbali na Serikali. Hayo yalibainishwa Oktoba 22, 2019 jijini Tanga, na Mwenyekiti wa Kamati ya …

Soma zaidi »

HALMASHAURI ZATAKIWA KULINDA MAENEO YA HIFADHI YALIYOIDHINISHWA VIJIJI YASIVAMIWE

  Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuhakikisha zinalinda maeneo yote ya hifadhi yaliyoidhinishwa na Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kuwa vijiji ili yasiendelee kuvamiwa. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na watendaji wa sekta …

Soma zaidi »

TANZANIA KUNUFAIKA NA MIKOPO YA KUENDELEZA MIRADI YA MIUNDOMBINU KUTOKA BENKI YA ‘ASIAN INFRASTRUCTURE INVESTMENT’.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango(Mb) amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa ‘Asian Infrustructure Investment Bank’ Bw. Danny Alexander jijini Washington DC. Katika mazungumzo na Benki hiyo wamekubaliana kusaidia katika miardi endelevu ya Miundombinu kama Barabara na Reli. Mazungumzo hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Waziri wa …

Soma zaidi »