Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene ameagiza waliobainika kusafirisha vyuma chakavu ambavyo ni miundombinu ya majitaka na maji safi wachunguzwe kujua walikovitoa ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Pia ametahadharisha kuwa yeyote atakayekutwa amebeba, kuhifadhi, kuuza au kusafirisha vyuma …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: November 14, 2019
TRA YAFAFANUA MABADILIKO YA SHERIA KWENYE VIWANGO VYA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi wa mabadiliko ya viwango vya kodi kama vilivyoainishwa na Sheria ya Fedha ya mwaka 2019 ambapo mabadiliko hayo yamegusa Sheria za Kodi ya Mapato, Ongezeko la Thamani (VAT), Usajili wa Vyombo vya Moto pamoja na Usalama Barabarani. Akizungumza wakati wa Wiki ya Elimu …
Soma zaidi »TIC YASAJILI MIRADI 1174, SEKTA YA VIWANDA YAONGOZA UWEKEZAJI
Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) katika kipindi cha miaka minne kuanzia Novemba 2015 hadi Novemba 2019, imesajili jumla ya miradi 1174 yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 15,756.9 huku sekta ya viwanda ikiongoza kwa kutoa asilimia 53 ya miradi yote nchini. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es …
Soma zaidi »BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUSAIDIA UJENZI WA MIRADI YA NISHATI TANZANIA
BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kuendelea kuisadia Tanzania kutekeleza miradi yake mikubwa ya kimkakati hususan miundombinu ya Nishati na Barabara kwa kuendelea kuipatia mikopo yenye masharti nafuu ili kuharakisha maendeleo ya nchi. Ahadi hiyo imetolewa Mjini Johannesburg nchini Afrika ya Kusini na Kaimu Makamu wa Rais wa Benki …
Soma zaidi »BENKI YA BIASHARA NA MAENDELEO MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA KUSAIDIA UTEKELEZAJI MIRADI YA KIMKAKATI YA TANZANIA
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini wa Afrika (TDB) Bw. Admassu Tadesse, ambapo Benki hiyo imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa dola milioni 200 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya …
Soma zaidi »MRADI WA KIWANDA KIKUBWA CHA DAWA TANZANIA WAVUTIA WAWEKEZAJI WA KIMKAKATI AFRIKA KUSINI
Tanzania imewasilisha miradi 13 ya Kipaumbele kwa wawekezaji wa kimkakati wanaoshiriki kongamano la Jukwaa la Uwekezaji Mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango anayemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Jukwaa hilo, amesema Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza dawa mchanganyiko kitakachogharimu zaidi ya …
Soma zaidi »MIRADI YA MAJI 547 INATEKELEZWA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI – PROF MBARAWA
Jumla ya miradi ya maji 547 inaendelea kutekelzwa nchini yenye thamani ya shilingi trilion 3.76, miradi hiyo ambayo imegawanyika katika makundi mawili ambapo ipo miradi inayotekelezwa mjini na mingine vijijini. Hayo yamesema na Waziri wa Maji na Umwangiliaji Prof. Makame Mbarawa wakati akizungumza kuhusu miaka minne ya serikali madarakani ambapo …
Soma zaidi »WIZARA YA KILIMO YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WANAJESHI WASTAAFU KUIMARISHA SEKTA YA KILIMO
Serikali imewahakikishia Wanajeshi wastaafu kupitia muungano wa Wanajeshi Wastaafu Tanzania (MUWAWATA) kuwa imekusudia kuwashirikisha kwa karibu katika sekta ya kilimo kwani shughuli za kilimo zitaimarisha usalama wa chakula kwa kaya zao na Taifa kwa ujumla. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 13 Novemba 2019 wakati …
Soma zaidi »