TUNAJUA WATENDAJI WAKIPATA MAKAZI BORA WATAONGEZA UFANISI KATIKA KAZI

  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa jitihada anazofanya kuhakikisha Maafisa na Askari wanaishi katika makazi bora na familia zao.
  • Dkt. Mwinyi amesema hayo katika ufunguzi wa nyumba za Maafisa na Askari wa Gereza la Ukonga Jijini Dar Es Salaam, ambapo amesema kuwa ndani ya majengo hayo 12 kuna nyumba 172 kwa ajili za makazi.
  • “Hii ni hatua kubwa kwa wenzetu wa magereza na haihishii kwa Magereza, Polisi, Jeshi la wananchi wote wameendelea kupata makazi bora tunasema asante sana na pongezi nyingi kwa kazi nzuri unayoifanya.” alisema Waziri Mwinyi
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA KITUO CHA MATIBABU YA FIGO HOSPITALI YA LUGALO

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.