KATIBU MKUU MWAKALINGA APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga amepokea kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Tanga, MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina beba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Katibu wa NEC (Uchumi na Fedha) wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Frank Hawassi kufuatia kifo cha Mke wake Bi. Damaris Hawassi wakati alipowasili kushiriki msiba huo Miyuji Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *