RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DSM KUAGA MWILI YA JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo March 20,2021.
Familia ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli   
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jambo na Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemedi Suleiman katika Ghafla ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. leo March 20,2021
Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dar es Salaam.

Jeneza lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay mara baada ya kuwasili.
Msafara wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwasili katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.

Makamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli wakati wakitoka Ikulu jijini Dar es Salaam na kuelekea katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto

Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *