RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA EU NCHINI, MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA ZIMBABWE Matokeo ChanyA+ February 7, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Oni 1 1,667 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuagana na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuamuaga baada ya mazungumzo Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri alipokutana nan a kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri akiwa pamoja na Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe. Martin Tavenyika alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuamuaga baada ya mazungumzo Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Pretence Shiri Ikulu jijini Dar es salaam Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest
Sisi ni Tanzania mpya