Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

TUSIFANYE SIASA NA AFYA ZA WANANCHI – SERUKAMBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba amesema suala la Afya za Watanzania sio suala la kufanyia siasa. Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji wa wananchi kujiunga na mpango wa vifurushi vipya vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AWATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA LISHE NCHINI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuweke mkazo kwa kutoa elimu ya lishe nchini hasa katika shule za misingi na Sekondari nchini ili kuondokana na tatizo la udumavu na utapiamlo Ameyasema hayo  mkoani Iringa alipotembela Shule ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 8.7 KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA

Serikali imepokea gawio na michango ya Sh. bilioni 8.7 kutoka kwa baadhi ya Mashirika, Kampuni na Taasisi za Umma, ikiwa zimebaki siku 15 kati ya siku 60 zilizotolewa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, za kuzitaka Taasisi, Kampuni na Mashirika hayo kutoa gawio kwa Serikali. Gawio hilo limepokelewa na …

Soma zaidi »

TUTAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WANANCHI KAMA ILIVYO KWA SEKTA YA AFYA – RAIS DKT. SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa wananchi wake kama ilivyo kwa sekta ya afya na katu haitorudi nyuma. Rais Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla ya …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE ATAKA TAARIFA UTOAJI WA DAWA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amemuagiza Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Atupele Mwandiga kuhakikisha anapata taarifa ya utoaji wa dawa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa. Agizo hilo limekuja mara baada ya ziara ya yake …

Soma zaidi »

SIMBACHAWENE APONGEZA JUHUDI ZA UTUNZAJI MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene amepongeza juhudi za utunzaji wa mazingira zinazofanywa na wadau mbalimbali hapa nchini. Simbachawene ametoa pongezi hizo kwa wadau Katibu Mtendaji wa asasi ya Foundation for ASM Development (FADev) Bibi Theonestina Mwasha na Emmanuel Chisna waliofika ofisini kwake …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO: WAHASIBU MAFISADI KUKIONA CHA MOTO

Waziri wa Fedha na Mipango  Dkt. Philip Isdor Mpango, ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wahasibu wote wanaofanya vitendo vinavyokinzana na maadili ya kitaaluma ya uhasibu kama wizi, ubadhirifu wa mali za umma, ufisadi na rushwa. Dkt. Mpango alitoa maagizo hayo wakati akifungua …

Soma zaidi »