Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dkt Tito Mwinuka ameeleza kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo inalenga kutimiza adhma ya Serikali ya kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka 2025. Taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo ameitoa tarehe 23/10/2019 katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA AALCO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MKUTANO WA UCHUMI KATI YA URUSI NA AFRIKA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA MATREKTA YA BTP
REA KUTOA VYETI MAALUM KWA WAKANDARASI MAHIRI
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), itatoa vyeti maalum kwa wakandarasi wa miradi ya umeme vijijini, watakaokamilisha kazi kwa wakati na viwango stahiki, ili kuwapa motisha na utambuzi utakaowapa sifa ya kupewa tenda nyingine mbalimbali na Serikali. Hayo yalibainishwa Oktoba 22, 2019 jijini Tanga, na Mwenyekiti wa Kamati ya …
Soma zaidi »LIVE: UZINDUZI WA KITUO CHA MATIBABU YA FIGO HOSPITALI YA LUGALO
TTCL NA BACKBONE SYSTEM YA BURUNDI WASAINI MKATABA WA MIAKA 10 WENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 13.8
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya shilingi bilioni 13.8 na Kampuni ya Mawasiliano ya Mkongo wa Taifa Burundi (BBS) kwa ajili ya kupeleka huduma ya internet nchini Burundi
Soma zaidi »