Matokeo ChanyA+
SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI JUU YA MAFUNZO YA KUWAANDAA WATANZANIA KUSHIKA NYADHIFA ZA JUU ZA UONGOZI KATIKA MAKAMPUNI
Jukwaa La Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi Tanzania(CEOrt) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira limekuja na mpango maalum wa kuwawezesha watanzania kushika nyadhifa za juu za Uafisa Mtendaji Mkuu (CEOs) na Ukurugenzi Mtendaji (MDs) katika Makampuni na Taasisi mbalimbali kupitia mafunzo ya kuwajengea …
Soma zaidi »SERIKALI ITAENDELEA KULINDA NA KUKUZA HAKI ZA BINADAMU -PROF KABUDI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kutekeleza wajibu wake wa kukuza na kulinda haki za binadamu na ustawi wa jamii kama kipaumbele chake na itaendelea kushirikiana na Baraza hilo kuhakikisha haki za binadamu nchini na duniani kote zinadumishwa. Prof. Kabudi …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NISHATI ATAKA BUSARA ITUMIKE KUUNGANISHA UMEME VIJIJINI
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kutumia busara katika kazi hiyo ili iwaongoze kufanya maamuzi sahihi hususan uunganishaji umeme katika taasisi na miradi ya umma. Alitoa wito huo kwa nyakati tofauti jana, Februari 25 mwaka huu, akiwa katika ziara ya kazi wilayani Nachingwea, …
Soma zaidi »SERIKALI INASOGEZA HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WANANCHI – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Shinyanga tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 5. Makamu wa Rais ambaye amesafiri kwa njia ya barabara akitokea mkoani Tabora ambapo napo alikuwa na ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo. …
Soma zaidi »MAISHA HALISI YA MSHINDI WA TUZO SINEMA ZETU (SZIFF 2019), MUIGIZAJI BORA WA KIKE; Ni funzo chanyA+
• Anaitwa Flora Kihombo binti mwenye umri wa miaka 10 anayeendelea na elimu ya msingi (Darasa la Sita) •• Ni mtoto wa nne kuzaliwa katika familia duni yenye watoto 7 ambapo kutokana na ugumu wa maisha, wazazi wake iliwalazimu muwandikisha kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu mwaka …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA
TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA SITA BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI NCHI NANE WATUMIAJI WA MAJI MTO ZAMBEZI
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa sita wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa nchi nane la watumiaji wa maji wa mto Zambezi utakao fanyika mnamo Februari 28 mwaka huu jijini Dar Es Salaam. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarara wakati akiongea katika kikao cha waandishi …
Soma zaidi »KILUWA YATENGA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 150,KUJENGA KIWANDA CHA MABEHEWA NCHINI
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, ikidhamiria kuinua uchumi kwa kutumia miundombinu ya usafirishaji, wadau wa maendeleo wamekuwa wakitumia fursa zilizopo kunufaisha watanzania. Miongoni mwao ni Mkurugenzi wa Makampuni ya Kiluwa Group, Mohamed Kiluwa ambaye amedhamiria kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mabehewa ya treni yaliyochakaa …
Soma zaidi »