Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

DKT. CHAMURIHO – ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

Naibu Waziri Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya, akisisitiza jambo kwa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za Wizara, jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Dkt. Leonard Chamuriho, kulia ni Katibu Mkuu-Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga na kushoto ni Kaimu …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidi taarifa ya Utekelezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya kupokelewa rasmi katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma. Katibu …

Soma zaidi »

HUNGARY NA TANZANIA ZATILIANA SAHIHI UFADHILI WA WANAFUNZI WA KITANZANIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Abdallah Possi akisaini makubaliano ya ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 30 wa Kitanzania Nchini Hungary. Tanzania na Hungary zimetiliana saini makubaliano ya ufadhili kwa Wanafunzi zaidi ya 30 wa Kitanzania kwenda kusoma katika vyuo vikuu vya Nchini Hungary katika kipindi cha miaka …

Soma zaidi »

WAZIRI WA MADINI BITEKO AZUIA URASIMU KATIKA SEKTA YA MADINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila akizungumza jambo wakati wa kikao cha menejimenti cha kumkaribisha rasmi Waziri wa Madini Doto Biteko ofisini tarehe 10 Disemba, 2020 Mtumba Jijini Dodoma. Asteria Muhozya na Steven Nyamiti, Dodoma Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wamekumbushwa kuzingatia maeneo muhimu …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUJIPANGA UPYA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka watendaji wa sekta ya ardhi kujipanga upya kwa kuwa wabunifu katika utekelezaji majukumu na kusisitiza kwamba hatomvumilia mtendaji atakyeshindwa kutekeleza majukumu yake. Aidha. Alisema katika kuhakikisha utendaji wa sekta …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AKUTANA NA MENEJIMENTI WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongea katika kikao cha Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kuapishwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, Mji wa Serikali …

Soma zaidi »