Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji …
Soma zaidi »BALOZI WRIGHT – MAREKANI INAIONA TANZANIA NI NCHI IMARA, TULIVU NA YENYE DEMOKRASIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 02 Agosti, 2020 amepokea Hati za Utambulisho za Mabalozi 2 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa Tanzania. Balozi wa Marekani hapa nchini Donald John Wright akiwa amesimama wakati nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Marekani zilipokuwa zikipigwa na …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI ACHANGIA SHILINGI MILIONI TANO KWA SHULE YA MSINGI SOMANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Jogoo alilopewa na Mzee Shaweji Mohamed Kimbwembwe mkazi wa Somanga mkoani Lindi ambaye alifurahishwa na utendaji kazi wa Mhe. Rais Magufuli wa kuwaletea maendeleo Wananchi wanyonge Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU 7 ZA MAOMBOLEZO YA KITAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Ijumaa tarehe 24 Julai, 2020 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa kilichotokea Jijini Dar es Salaam. Katika kipindi chote cha maombolezo bendera …
Soma zaidi »TUNADI SERA ZETU NA WANANCHI WAWEZE KUTUPIMA KUTOKANA NA SERA ZETU – RAIS MAGUFULI
“Tanzania tunatakiwa tuijenge, Tanzania ya Nyerere inatakiwa iende hivi na mimi niwaombe, niwaombe sana ndugu zangu wanasiasa wezangu kama ambavyo imekuwa kawaida yenu katika uchaguzi huu uwe uchaguzi maalum” “Tufanye kampeni zetu kwa upole, tufanye kampeni zetu kwa kumtanguliza Mungu, tufanye kampeni zetu kwa kujua sisi ni taifa la Tanzania, …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Julai, 2020 …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA RC, KM, NKM NA DC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais na anachukua …
Soma zaidi »MKATATUE MATATIZO YA WANANCHI – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe …
Soma zaidi »NATAKA KUWATHIBITISHIA WANANCHI NA WANACCM HAKUNA MTU YEYOTE ALIYETUMWA NA MIMI – RAIS DKT MAGUFULI
“Na nataka kuwathibitishia wananchi wanaccm hakuna mtu yeyote aliyetumwa na mimi, hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Makamu wa Rais na hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Waziri Mkuu, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Mzee Mangula, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru kwahiyo kama yupo mtu yoyote anayezungumza mimi …
Soma zaidi »USICHOKE KUTULEA SISI VIJANA TUNA MIHEMKO MIKUBWA – MKUU WA MKOA WA MBEYA CHALAMILA
Alichozungumza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila Ikulu Chamwino,jijini Dodoma julai 16, 2020 “Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nifurahi kidogo kwa kupewa nafasi hii kuwa mmoja wa wazungumzaji wa kutoa neno kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria hii leo” “Mhe Rais nimepewa jina hivi karibuni …
Soma zaidi »