NATAKA KUWATHIBITISHIA WANANCHI NA WANACCM HAKUNA MTU YEYOTE ALIYETUMWA NA MIMI – RAIS DKT MAGUFULI

“Na nataka kuwathibitishia wananchi wanaccm hakuna mtu yeyote aliyetumwa na mimi, hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Makamu wa Rais na hakuna mtu yeyote aliyetumwa na Waziri Mkuu, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Mzee Mangula, hakuna mtu yoyote aliyetumwa na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru kwahiyo kama yupo mtu yoyote anayezungumza mimi nimewatuma ni waongo na hii meseji iwafikie wanaccm wote nyie wapimeni wagombea kulingana na ninyi mnavyoona watakavyowafaa kuwawakilisha siwezi ni katuma mtu kupitia mgongo wa pembeni wote wako sawa wapimeni sawa sawa kwasababu nimesikia kila mahali mimi nimetumwa na Rais sasa kama ningekuwa na uwezo wa kukutuma kwanini nihangaike kukutuma siningesubiri tu kwenye viti vyangu kumi ningekuteua kama nitashinda kwahiyo sikutuma mtu na wanajua watanzania wanaelewa nataka muwatume ninyi watanzania nenda huko katumwe” – Rais Dkt. Magufuli, Ikulu Chamwino, Dodoma Julai 16, 2020

Ad

Unaweza kuangalia pia

USHAWISHI WA TANZANIA DUNIANI UTATEGEMEA NA UBORA WA SERA YA MAMBO YA NJE INAYOREKEBISHWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Zanzibar, Mhe.  Ali Suleiman Ameir akitoa hotuba ya ufunguzi ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.